Zaidi ya tozo za hapa na pale za wanawake hakuna mateso mapya!,kuna mwanamke aliniomba laki 3 nikahisi anataka kutoka na roho yangu [emoji276]eti baby nitumie laki tatu nibadilishe kioo cha simu!,na mapenzi yaliisha siku hiyo hiyo
Hehehe..Sasa mbona raha hiyo kukusumbua hivyo😂😂..Kuna mwamba nilikua namsumbua aisee hata nikimwambia saa sita ya usiku nataka kumuona au njaa inauma sijisikii kula ugali anakuja chap kutoka upanga to kijichi😂😂😂😂dah.kama yalikua mateso atajijua mwenyewe..J ..ndiyo Basi Tena.