Tukio gani la football liliwahi kukutoa machozi

Nilisikitka sana kwa matukio mawili, italy kuwashinda france WC, na ghana kubaniwa na Suarez.
 
Nakumbuka goli la the blues lilifungwa na Essien na Barca walikuwa hawajapiga shuti lolote kwenye lango la Chelsea, ila hilo la Iniesta ambalo lilizaa goli. England Chelsea ndo anamweza Barca
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] weka head to head
 
Aaron Ramsey suffers 'Eduardo-injury': Captain Cesc Fabregas ...
www.dailymail.co.uk/.../Aaron-Ramsey- ...
27 Feb 2010 ... Tears: Ryan Shawcross of Stoke City is consoled by team mate ... Share or
comment on this article ...
 
Iliniuma sana ile mechi ya Yanga na Simba pale mchezaji wa kulipwa Pape Ndew alipokutwa na booster/hirizi kiunoni.
 


Kudondoka na kufariki uwanjani katikati ya mechi kwa nyota wa Cameroon hayati Marc Vivien Foe mwaka 2003
 
That was the greatest come back of all time...ukizingatia it was a FINAL!
 
Aseee! Siku ambayo FIFA iliikatalia timu ya SHAOLIN SOCCER isishirikia mashindano yoyote ya kimataifa wala kuruhusu wachezaji wao kusajiliwa na timu yeyote duniani...niliumia saana!

Hatimaye! Wakaishia kucheza filamu yao ya shaolini soccer tu. Mpira unapigwa angani watu wanapika wanakula wanaosha mpaka vyombo ngozi haijatua down.

Shaolino soccer walikuwa hawataki ujinga, aswa wakisikia Barcelona!
 
Starz wanakufa goli 5 kichapo kikali toka kwa Misri dah
 
Tukio la pili[emoji23][emoji23]..hilo ndo nlichoka kabsa
 
Barca anateseka sana akikutana na blues hata messi anajua hajawai kufunga hata penalty japokuwa alipata nafasi ya kupiga
NB:Siku Messi akiifunga Chelsea kwenye uefa ntauzunika sana
 

Attachments

  • 1476145552691.png
    58.8 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…