Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] weka head to headNakumbuka goli la the blues lilifungwa na Essien na Barca walikuwa hawajapiga shuti lolote kwenye lango la Chelsea, ila hilo la Iniesta ambalo lilizaa goli. England Chelsea ndo anamweza Barca
dah!hii mechi ndo ile fagason alipata degedege na kutetemeka kwa pasi za barcaMan u vs Barcelona
Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu
Qualifier match Tanzania Vs Mozambique... Itukagongwa goli dk ya kwanza,... Nilivua Tshirt ya serengeti nikatoka uwanjani nikarudi zangu pugu.
Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kuwa mshabiki mnazi wa mpira, nimebaki kuwa mwangaliaji tu tangu siku hiyo sina tena mhemko
Siku hiyo nilifurahi sana. PoleBrazil vs Germany brazil wakafungwa 7 mpaka Leo sipendi mpira tena maana nilihisi kama nazimia
That was the greatest come back of all time...ukizingatia it was a FINAL!Fainali ya uefa champions league jijini Istanbul mei 2005 kati ya Liverpool fc na AC Milan, hadi half time lLiverpool kashafungwa 3 kwa 0. Lakini kilichotokea baadaye ni kwamba Liverpool ilisawazisha na kupata ushindi kwa mikwaju ya penati. lile tukio lilinitoa machozi kwa kweli. Lakini tofauti ni kwamba machozi yenyewe yalikuwa ya furaha.
Tukio la pili[emoji23][emoji23]..hilo ndo nlichoka kabsaNi tukio gani au mechi ipi ilishawahi kukuliza au kukutoa machozi.
Brazil vs holland worldcup 98,holland anakufa kwa penati baada ya mechi ngumu sana,pira mwingi,ufundi mwingi,striker wakali,beki kali,viungo wakali,makipa makini.
Tukio la Pili
Asamoah Gyan anapokosa kutupeleka wa Afrika kwenda nusu fainali ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza tena kwenye ardhi ya Afrika..na hapo chuki yangu na Suarez na washirika wake ndipo ilipozaliwa na haitokoma.
Gibbs ilikuwa na man utd, nadhan ni koscienlySio Koscienly mkuu???