Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Goli la Tambwe la mkono, basi mzee washabiki wakaanza kurusha viti uwanjani, sindio wapenda sifa wakarusha mabomu ya machozi jukwaani, dah machozi yalinitoka bila kupenda, na network ikapotea kabisa
Nimecheka sana[emoji23]Mzee alitununulia gozi jamaa wa darasa la 6 wakanishauri nliliete shuleni mi nikiwa darasa la nne kuna mechi mwaka 1991 nikaenda nalo kwa ahadi kuwa watanipanga hasa kipindi cha pili. Mpaka dk 90 zinaisha nipo nje tu jamaa wenyewe wanasata gozi langu. Baada ya kipyenga kupulizwa nlikamata mpira wangu nikaweka kwapan huku nikilia sana.
Unaikumbuka hii?Kuanguka then kufa uwanjani kwa Marc Vivian Foe
Bingwa wa dimba la chini aliye kuwa anaenda sajiliwa Man United
Wanacheza na Colombia ktk kombe la Federation akaanguka akatolewa uwanjani
Baadae FIFA ikatangza Foe kafariki dunia
Mm nilikuwa namkubali sana huyu mtu
Kiasi kwamba jezi yake ninayo hadi leo
Ilikuwa 1994 kweli. Yanga alikufa 4-1 Wakati huo George Masatu na Malota Soma aka Ball Juggler walikiwasha balaa. Nilifurahi sana siku hiyo.Me nililia sana nafikiri mwaka 1994 yanga alipigwa nne na simba.ile yanga ya constatine kimanda na lunyamila na huku simba kina duwa said ndio walikuwa wanatokezea.sisi ndio tulikuwa wakali nilikuwa bado mdogo nilia sana hadi mtaa mzima ukawa unanitania
Ilikuwa 8-2Cku ile arsenal anafungwa na man u 8-0.,.cku ile ctaisahau ilinifanya nipoteza hobby ya mpira kabisa Kwa msimu ule...COYG
Umenikumbusha fainali ya UCL 2016 iliyowakutanisha tena, Atletico akafa kwa matuta 5-3 baada ya kutoka 1-1 dakika 120Atletico Madrid vs Real Madrid finali Uefa champions league 2014, Atletico anakufa 4-1 dakika za kulala