Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Acha tu, nilikua najua kutumia tea bag za kawaida ila sikuwahi kuona tea bag empty yani haina majani ndani, wewe ndo unaenda kujichagulia majani gani uweke halafu unakafunga ndiyo unatia kwenye maji moto. Siku hiyo nilijiona mshamba sana
bora umesimulia ningeenda kuaibika mimi na empty tea bags [emoji1787]
 
Siku ya kwanza kwenda kijijini mkoa wa Kagera nilipanga nyumba nzima. Njee ya nyumba kulikuwa kumepandwa migomba na maharage sasa Mimi maharage nilikuwa sijui jinsi yanavyo kuwa shambani nilijua majani tu yamezunguka migomba. Nika mwita mwana kijiji nikampakazi yaku fyeka Yale maharage. Aisee nilionekana mshamba mpaka niliona Aibu
 
hahah [emoji3] dah
 
Uchjiiii wa motoooo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…