Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niite Lilith😹acha bangibye cute avatar
Qashy(kashy)📌❤️sawa Lilith
Sasa Qashy naisomasoma vipi
Qashy (kwashi)
Qashy (Q ashy)
Qashy (kashai)
Qashy (cash)
Geuza sasa iwe lady Lilith🐝Okay Lilith Lady uwe na wakati mwema
Hiyo ya tea bags hata mimi iliwahi kunikuta 😂😂😂Mimi mwenyewe nilienda Dom kwa mjomba wangu wakaniachia mkate na lile coca kubwa la familia .Nikawa na kikombe changu pembeni namimina nakunywa huku nabunya na mkate wangu laini.Nikamaliza vyote mkate na lile coca babalao.
Ya pili ni tea bag tulienda sehemu nikakafyeka kwa meno kale kakamba toboa vile vimajani mimina koroga kwenye maji.
Wenyeji wangu wakabaki wametumbua macho tu.
Oooi.
Hii yako inafanana na yangu, me hadi leo sina interested na mpira, sio kucheza wala kushabikia.Me ilikuwa ni kitambo nilikuwa bado sijui nafasi za kwenye mpira najua tu kipa ni namba moja ila wengine najua ni mabeki, viungo na washambuliaji ila sijui namba zao
Hivyo nikaitwa kucheza nikauliza we unacheza namba ngapi nikasema winga namba nane, jamaa akauliza nini ! nikarudia tena bila wasi wasi basi hapo ilikuwa ni kicheko dakika kama tano nachekwa tu
Acha kabisa na hamu ya mpunga inakatahaha dah ila inauma
[emoji1787]namba 13 shabiki sioHii yako inafanana na yangu, me hadi leo sina interested na mpira, sio kucheza wala kushabikia.
Nilikuwa shule ya msingi, mtaani kwetu panaanzishwa timu mpira wa gozi, sasa wanacheza kinamba, me nikaulizwa nacheza namba ngapi, wakati natafakari(maana nilikuwa sijui) kuna jamaa akaninong'oneza namba 13, halafu na mimi nikaropoka namba 13 .
Asee nilichekwa mpaka nikapewa jina namba 13
[emoji1787]tea bag zimewakamata wengi mambo ya chaiSitasahau, Schiphol airport 2010, nimeenda kununua chai, wakanipa kikombe empty na biodegradable tea bag empty halafu wakanielekeza kwenye counter ni fanye self service. Kulikua na mashine sijui kuitumia ilinichukia kama 5 minutes ya kuangalia wengine wanavyofanya kufigure out namba ya kupata maji ya moto na majani gani niweke kwenye kile kitea bag kupata black tea. Baada ya hapo kwa hasira niliitupa ile chai kwenye bin kwa sababu hamu yote iliniisha baada ya kadhia na aibu ile
Yeah.Nshatumia almost km mwaka uko sahihi
Hukuwa na Chai bora ile ya sh 100 mfukoniii 😂😂😂Sitasahau, Schiphol airport 2010, nimeenda kununua chai, wakanipa kikombe empty na biodegradable tea bag empty halafu wakanielekeza kwenye counter ni fanye self service. Kulikua na mashine sijui kuitumia ilinichukia kama 5 minutes ya kuangalia wengine wanavyofanya kufigure out namba ya kupata maji ya moto na majani gani niweke kwenye kile kitea bag kupata black tea. Baada ya hapo kwa hasira niliitupa ile chai kwenye bin kwa sababu hamu yote iliniisha baada ya kadhia na aibu ile ya kuhngaika kujitengenezea chai🙃🤦🏽♀️
Acha tu 😅😅😅 nilikua najua kutumia tea bag za kawaida ila sikuwahi kuona tea bag empty yani haina majani ndani, wewe ndo unaenda kujichagulia majani gani uweke halafu unakafunga ndiyo unatia kwenye maji moto. Siku hiyo nilijiona mshamba sana 😅😅😅[emoji1787]tea bag zimewakamata wengi mambo ya chai
Sasa hivi navitumia nyumbani, nishakua master 😂😂😂😂😂Hukuwa na Chai bora ile ya sh 100 mfukoniii 😂😂😂
Hizo mambo weza zuga unaongea na simu kumbe ushamba mzigo 😀😀
Sasa hivi ushakuwa master naona 😂