Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Boss wangu enzi za 2009 akaniambia kijana twenzetu waache hao wengine, nakumbuka siku nzima sikula sababu wateja wengi weekend.

Huku na huku gari prrrrr mpaka bar, imeletwa nyama choma plus njaa tena nikajifanya nna haraka, kumeza kipande cha nyama hakipandi wala hakishuki jicho limenitoka balaa na chozi limeanza ile mbaali, ilibidi niact kama natafakari kwa kuweka 'ngumi ya kutafakari' mdomoni kumbe nabembeleza finyango ishuke
hahaha [emoji1787]uwe unalainisha koo kwanza hata na kajuice
 
Boss wangu enzi za 2009 akaniambia kijana twenzetu waache hao wengine, nakumbuka siku nzima sikula sababu wateja wengi weekend.

Huku na huku gari prrrrr mpaka bar, imeletwa nyama choma plus njaa tena nikajifanya nna haraka, kumeza kipande cha nyama hakipandi wala hakishuki jicho limenitoka balaa na chozi limeanza ile mbaali, ilibidi niact kama natafakari kwa kuweka 'ngumi ya kutafakari' mdomoni kumbe nabembeleza finyango ishuke 😂😂😂.

Funny enough nilienda kwa Dr nikamweleza since ilinitokea twice, nikajua Dada Dr though tunajuana atanibembeleza kwa majibu soft, alinipa jibu moja tu nilijiona mbugila "R ukiwa unakula hizo nyama choma zako uwe unalainisha koo kwanza n nilipata aibu asee, utakuja pigwa ngumi za mgongo sasa hapo kuna kweli" 😂😂😂
Bwashee unazingua 😂 😂
 
Habari wakuu
Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active.
Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani ya ATM ananiambia chagua lugha, me hapo hata sijui wanabonyeza wapi, akanionesha zile button za pembeni nikachagua, akanambia bonyeza hapa nikabonyeza, akasema weka namba ya siri nikaanza kuijaza.

Sasa yeye akatoka nimemaliza akakawia kuja. Namsubiri mara nashangaa kadi inamezwa nikamuita nikamuuliza mbona kadi imedumbukia tena, akasema aisee ungeitoa dah, me nikamwambia sasa hukuniambia, nilikaa pale saa zima nasubiri wailete dah!

Mara ya pili, nimeenda ATM pekeangu kufika kumbe ile ATM ni ya touchscreen haina buttons za pembeni zipo za namba tu maandishi yale ya pembeni kumbe unatouch, duh nikadata nje kuna bonge la foleni wanasubiri nitoke, naweka kadi naweka PIN nasubiri hola! duh nikaona nitoke hapa nishatolewa ushamba, hata nikaona kuuliza watanicheka nikaenda kutoa kwa wakala, haha dah!
ushamba mzigo
Mara ya kwanza kuoa, kwenye usiku wa kwanza wa fungate mke wangu alilala na kanguo kafupi kepesi...alinikwaza sana maana nilikua namheshimu sana na hakuwahi nivalia nguo fupi kabla.
 
Back
Top Bottom