Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Mpaka Leo sijui namba ila najua ma forward mabeki na Winga wanapokaa ila kinamba mtihani na sijataka ksumbuka
😆😆 jifunze mapema ndugu yangu ipo siku utakuja ulizwa mbele za watu tena siku hizi hata vijitoto vidogo vinajuwa, wanawake mpaka mabibi utakuja uchekwe na mbibi wa miaka 80😅😅
 
emoji1787.png

😀 ahaha nice! kopo ya soda zile za chuma ilinishinda kufungua nikakata na kisu alaa!
Ulikuwa wa bush😹😹...
Ivi mtu akishika fork and knife muda kula which hand hold the fork and which holds the knife
 
Boss wangu enzi za 2009 akaniambia kijana twenzetu waache hao wengine, nakumbuka siku nzima sikula sababu wateja wengi weekend.

Huku na huku gari prrrrr mpaka bar, imeletwa nyama choma plus njaa tena nikajifanya nna haraka, kumeza kipande cha nyama hakipandi wala hakishuki jicho limenitoka balaa na chozi limeanza ile mbaali, ilibidi niact kama natafakari kwa kuweka 'ngumi ya kutafakari' mdomoni kumbe nabembeleza finyango ishuke 😂😂😂.

Funny enough nilienda kwa Dr nikamweleza since ilinitokea twice, nikajua Dada Dr though tunajuana atanibembeleza kwa majibu soft, alinipa jibu moja tu nilijiona mbugila "R ukiwa unakula hizo nyama choma zako uwe unalainisha koo kwanza n nilipata aibu asee, utakuja pigwa ngumi za mgongo sasa hapo kuna dawa ya kukupa kweli" 😂😂😂
 
Back
Top Bottom