Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Me ilikuwa ni kitambo nilikuwa bado sijui nafasi za kwenye mpira najua tu kipa ni namba moja ila wengine najua ni mabeki, viungo na washambuliaji ila sijui namba zao
Hivyo nikaitwa kucheza nikauliza we unacheza namba ngapi nikasema winga namba nane, jamaa akauliza nini ! nikarudia tena bila wasi wasi basi hapo ilikuwa ni kicheko dakika kama tano nachekwa tu
Mpaka Leo sijui namba ila najua ma forward mabeki na Winga wanapokaa ila kinamba mtihani na sijataka ksumbuka
 
Picha linaanza nimemchek bi mkubwa nimemsimulia kila kitu..

Alichofanya kaja dukani pale kachek mazngira alafu kasepa.

Leo asubh ananiambia yupo msumbiji ila kasema nitoe tangazo
[emoji1787]
New message!
Mtaalam Sumbawanga: umesema alivunja fremu akaiba flat
Poor brain: ndio
mtaalam: na yeye ngoja tumfanye awe flat
 
Sintosahau ushamba nilioufanya nilipokuwa darasa la tatu niliingia chumbani kwa bimkubwa, maana kuna perfum alikuwa akijipulizia nilipenda harufu yake nikavizia siku hayupo nikachukua namimi nijipulizie sasa nimejipulizia akili ikanituma bado kwenye macho nayo yanahitaji kunukia nikapulizia, ebwanaee haikupita dakika macho yakaanza kuniwasha mara pu bimkumkubwa kaingia palikuwa hapatoshi..kweli ushamba mzigo.
 
[emoji1787]
New message!
Mtaalam Sumbawanga: umesema alivunja fremu akaiba flat
Poor brain: ndio
mtaalam: na yeye ngoja tumfanye awe flat
😄😄😄😄😄
Oa unajua bi mkubwa ametoa mkwara alafu najua kabisa hamna kitu pale ila basi tu.

Alafu haya mambo haya Bora tuu uache yapite ila nina mpango wa kununua panga na kufuli la alam yaan nikikuta inalia tuu mi natoka na panga haijalishi takuta mtoto, mzeee au nani ni kukata kata tuu
 
Back
Top Bottom