Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Ahahahahhahaha umeona eeeh kuua so poa an hawa watu sijui wafanywe nn sasa
kipindi flani kijijini mwizi aliiba mbuzi kama 5, ikapigwa yowe asubuhi wanakijiji wakafatilia wakazikuta kwenye mji mmoja kijiji cha jirani, kumbe mwizi aliiba akapeleka mji anapoishi na ndugu zake, walivyofika wakuchukua mbuzi zao 5 na mbuzi zote walizozikuta kwenye ule mji jumla mbuzi 73, alieibiwa akasema asanteni nimepata mbuzi zangu 5, hizi nyingine mtajua wenyewe mzifanyeje, watu waligawana mapaja hayo, kule kwa ndugu wa mwizi ni kilio na lawama kama zote
 
Hizo ndo akili sasa an...
Hata mimi nataka hawa watu wawehuke kabisa wawe machizi watokwe na maudenda hapa mtaani..

Kawe kafundisho alafu najikausha kimya
 
Back
Top Bottom