Tukio gani uliwahi kufanya ukagundua kweli una stress?

Siku moja naendesha gari usikumwaka huu huu, asa nikaangalia side mirror nikaona taa ya nyuma ya gari ninaloendesha, sijui akili iliwaza nini nikajisemea huyu jamaa mbona kanisogelea sana, nikakanyaga wese.

Lahaula naangalia bado naona mbona tunafuatana hivi, nikaongeza wese aisee nilikimbizana na taa za nyuma hadi nafika home najisemea leo hawa vibaka ni ama zangu ama zao.

Kushuka tunimalizane nao, lahaulaa!!, ni taa za nyuma nilijicheka kinoma.
 
🤣🤣🤣
 
Nilikuwa na mgogoro na wife na baba mkwe ananikomalia sana. Siku moja usiku nikaamua nimsalimie badala ya kandika ujumbe HAMJAMBO HUKO? na MIMI niliandika HAMJAMBI Huko?

Baana wewe mgogoro ukawa mkubwa zaidi.

Mzee akakomaa akimwambia mkewe kuwa sina adabu na heshima. Akimuonyesha mkewe meseji niliyomuandikia
 
Me nliwahi kupokea simu badala ya kusema "haloo" me nikasema "hodii" 😂

Lets Go
Mkuu ile ya kuongea huku ubongo wako unakudadisi the way unaongea kama ni sahihi ni lazima uchapie tu aiseee

Kuna mzee nilijikuta badala ya kumsalimia shikamoo nikasema ahsante kwa chakula!!!!😂😂😂😂
 
Nilikuwa na mgogoro na wife na baba mkwe ananikomalia sana. Siku moja usiku nikaamua nimsalimie badala ya kandika ujumbe HAMJAMBO HUKO? na MIMI niliandika HAMJAMBI Huko?

Baada ya hapo mgogoro ukawa mkubwa zaidi.

Mzee akakomaa akimwambia mkewe kuwa sina adabu na heshima. Akimuonyesha mkewe meseji niliyomuandikia
Chai hii
 
Back
Top Bottom