Tukio gani uliwahi kufanya ukagundua kweli una stress?

Kuna siku nimeingia tanzania kutokea dubai nilikuwa na matairi ya gari ndogo 4 na tv kubwa, wakati nashuka kwenye ndege nilianza kumuomba Mungu kwa dua ili nisisumbuliwe na TRA.
Cha ajabu nikajikuta naomba msaada wa kupita bila kukaguliwa kwa afisa ambaye nae ni miongoni mwa hao wakaguzi..

Alinionea huruma tu sijui maana nilifanikisha
Kisa kingine

Kipindi hiko nilikua nina kiwanja huko Bagamoyo nikahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga

Hapo niliikuwa na bajeti ya Milioni 20 tu, nikajikuta namuomba ushauri mwanangu wa darasa la pili
Hapo kweny kuomba ushaur mwanao wa darasa la pili nimecheka sana mkuu😂😂😂😂😂😂
 
Hiyo mimi juzi,,natoka room naongea na simu,nashuka kwenye ngazi najichek kwenye koti simu haipo,kumbuka bado naongea na simu,naingia room natafuta sioni,,mara pap nakumbuka si ndio hii hapa naongea na mtu,,huyo nikatasamu huku maongezi yanaendelea
🤣🤣Last week nilinuniwa kazini nimetafuta simu haionekani acha tuanze kutafuta pekua vitu kunamtu akapata wazo anipigie kupiga inaita mfukoni🤣🤣🤣Yani smartphone na ukubwa wake sikuhis Kam Nina uzito mfukoni 🤣🤣watu waliondoka wamenuna
 
We acha tu haya mambo huwa yanatokea
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo nlikuwa kanisani sasa mchungaji aliona kama nmezubaa akataja Fulani naomba nisomee kitabu cha mambo ya walawi fungu dash. Daah nilisimama nikasema "mambo ya malawi" badala ya "mambo ya walawi"😅😅
Daaah watu walicheka sana
 
Noted 😂😂😂😂
 
Hiyo mimi juzi,,natoka room naongea na simu,nashuka kwenye ngazi najichek kwenye koti simu haipo,kumbuka bado naongea na simu,naingia room natafuta sioni,,mara pap nakumbuka si ndio hii hapa naongea na mtu,,huyo nikatasamu huku maongezi yanaendelea
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom