kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Nyie stress ziacheni kabisa
Hadi naona aibu kusema kisa changu, nimeandika nikafuta
Hadi naona aibu kusema kisa changu, nimeandika nikafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata haikuwa bongo 😜Kumbe ilikua wewe
Kwani nimesema bongo mahaliHata haikuwa bongo 😜
Aisee 🤔Nilivurugwa sana na jambo fulani nikajikuta nakaa chini na mwanangu wa miaka 3 namuuliza maswali na namuomba ushauri kumbe na machozi wakati huo yananitoka dogo alikuwa ananiangalia tu ananishangaa badae akavua soksi yake mguuni akanifuta usoni ndo nikashtuka na akili ikanirudia, nilifumba macho nikasema Mungu nisaidie nitoke katika hili. Sitasahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shangaziii, em sema kweliiii?Hiyo ishanikuta mara nyingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilienda kufata kisu nikatoka na jiko la Mkaa Tena nimebeba nimerelax [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Last week nilinuniwa kazini nimetafuta simu haionekani acha tuanze kutafuta pekua vitu kunamtu akapata wazo anipigie kupiga inaita mfukoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani smartphone na ukubwa wake sikuhis Kam Nina uzito mfukoni [emoji1787][emoji1787]watu waliondoka wamenuna
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Me nliwahi kupokea simu badala ya kusema "haloo" me nikasema "hodii" 😂
Lets Go
Hivi mwamposa hajaanza kuombea matatizo kama hayo?
Au bado anapambana na matatizo ya uzazi tu
We jamaaa nimechekaaaa kinomaaa hasa kisa cha kwanza 😂😂😂😂😂😂😂1. Niliigiza dushe kwenye kinyeo, na wala hakunambia. Nilikuja kushtuka naungua, mavi yanaunguza hatari
2. Mama alinikuta namshika beki tatu kiuno, kuhamaki mama huyu hapa. Nikajikuta naropoka shikamoo mama. Nimeshinda nae kutwa nzima. Ila mama alielewa nimeshtuka sana hakuwahi lizungumzia hili, na wala sikumla yule beki tano ever - Iliniathiri
3. Kuna paka alijibanza sehemu, sikumona. Wakati nageuka huyu hapa. Nilitoa kisauti chembamba. Nikarudi ndani chapu, wife akaniuliza kuna dada wanamkaba huko nje.
Nikavunga aaah hawa watakuwa panya Road tufunge milango
4. Kuna bodaboda nilimpa mkataba ni mwanangu kinyama. Alipanda tuta nikajikuta nimempakata.
Ile anayumba kukwepesha makalio yake na mapaja yangu. Nikajikuta nimeshikilia sterling huku bado nampakata
Dah ile kushtuka tuko hatua kama kumi mbele. Nikazunga akaendelea kuendesha huku anatetemeka sana. Kifupi hakuwa sawa kwa sababu nimempakata
Sijawahi kupanda tena pikipiki ile mpaka Leo na tunawasiliana ila sio kivile, nina wasiwasi anataka alipize.
Nina akili nyingi sana .....
Nina visa vingi ila nitatupia nikitulia
Ahaha maisha yanaendeleaWe jamaaa nimechekaaaa kinomaaa hasa kisa cha kwanza 😂😂😂😂😂😂😂
Eti yanachomaaaa 😂😂😂Ahaha maisha yanaendelea
Aisee leo yamenikuta,kuna dogo ananidai pesa ya riba rejesho leo,sikutegemea simu asubuhi kwani nilikuwa sijapanga la kumset nimejikuta namsalimia shikamoo boss wakati namzidi miaka mingi,hajaniitikia nikavunga but naamin alijua nilivopanicDaaaa!!Stress mbaya sana,Nilimuamkia Mchungaji Kijana Mdogo kwangu badala yakumpa salam tuyayo peana kila tukionana.