Tukio gani uliwahi kufanya ukagundua kweli una stress?

Hapo kweny kuomba ushaur mwanao wa darasa la pili nimecheka sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo mimi juzi,,natoka room naongea na simu,nashuka kwenye ngazi najichek kwenye koti simu haipo,kumbuka bado naongea na simu,naingia room natafuta sioni,,mara pap nakumbuka si ndio hii hapa naongea na mtu,,huyo nikatasamu huku maongezi yanaendelea
🀣🀣Last week nilinuniwa kazini nimetafuta simu haionekani acha tuanze kutafuta pekua vitu kunamtu akapata wazo anipigie kupiga inaita mfukoni🀣🀣🀣Yani smartphone na ukubwa wake sikuhis Kam Nina uzito mfukoni 🀣🀣watu waliondoka wamenuna
 
We acha tu haya mambo huwa yanatokea
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo nlikuwa kanisani sasa mchungaji aliona kama nmezubaa akataja Fulani naomba nisomee kitabu cha mambo ya walawi fungu dash. Daah nilisimama nikasema "mambo ya malawi" badala ya "mambo ya walawi"πŸ˜…πŸ˜…
Daaah watu walicheka sana
 
Noted πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo mimi juzi,,natoka room naongea na simu,nashuka kwenye ngazi najichek kwenye koti simu haipo,kumbuka bado naongea na simu,naingia room natafuta sioni,,mara pap nakumbuka si ndio hii hapa naongea na mtu,,huyo nikatasamu huku maongezi yanaendelea
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…