Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Mashujaa sio timu ya JeshiMkuu ile ni timu ya JWTZ, wanajeshi wanapenda violence, ukishangaa unakula za kutosha[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashujaa sio timu ya JeshiMkuu ile ni timu ya JWTZ, wanajeshi wanapenda violence, ukishangaa unakula za kutosha[emoji3]
Duuuu! Hata jinai ikitokea michezoni haiendi polisi?
Uko sahihi..anahukumiwa kimichezo na siyo kama mtoa uzi alivyotakaNi kufungiwa maisha kama wakina Manara yule jamaa jinga kabisa mimi nilikua nataka Kigoma Timu ipande na Mbeya City ishuke kwa sababu ya sheria mbovu ya TFF kushindanisha madaraja mawili tofauti yaani hizi za kina Mbeya City zinafanya vibaya ila hazishuki kwa sababu ya kijisheria cha play off cha tff...
Chagua eneo la kukutana nikupasue. Usije na sirahaAcha dharau dogo unafikili kigoma anatoka mzembe jaribu uone kitakachokukuta, haya mambo ni temper za mchezo kigoma tungekuwa washamba tusingekuwa tunatoa vipaji Bora vya mpira na Sanaa. Jifunze heshima au tukuadabishe kama mama yako hakukulea vizuri.
Kumbe! Hapo sawa. Tuliwahi kumpiga refa mmoja mtaani alijitolea kutuchezesha baada ya kuwapa wapinzani goli ambalo hatukulielewa, dah kilichofuatia kesho yake kila mmoja alijuta.Mkuu ile ni timu ya JWTZ, wanajeshi wanapenda violence, ukishangaa unakula za kutosha[emoji3]
Ile ngumi kitaalam inaitwa ulakenngumi imefika ile kaka,izo ngumi za snap alizipiga sana Bruce Lee.
unaguswa kiduchu lakini unakaa vizuri tu.
Kama mhusika ni nje ya pitch Sawa Ila kama wahusika wote ni ndani ya pitch hakuna cha polisiDuuuu! Hata jinai ikitokea michezoni haiendi polisi?