Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

Labda wapigane washabiki...yaani kimsingi hata polisi mle uwanjani hawatakiwi..kama unaona Ulaya kila uwanja unakuwa na walinzi wake
Duuuu! Hata jinai ikitokea michezoni haiendi polisi?
 
Uko sahihi..anahukumiwa kimichezo na siyo kama mtoa uzi alivyotaka
 
Chagua eneo la kukutana nikupasue. Usije na siraha
 
Mkuu ile ni timu ya JWTZ, wanajeshi wanapenda violence, ukishangaa unakula za kutosha[emoji3]
Kumbe! Hapo sawa. Tuliwahi kumpiga refa mmoja mtaani alijitolea kutuchezesha baada ya kuwapa wapinzani goli ambalo hatukulielewa, dah kilichofuatia kesho yake kila mmoja alijuta.
 
Mapot kama mapot...naskia Wana mikono mirahisi sanaa kupiga..ila wakiamshiwa wao na kuzidiwa wanapenda ita batalion nzima kuleta ambush
 
Inasemekana kwamba et jamaa wa Mashujaa walipoinuka kushangilia goli lao,kabla hawajamfikia yule kocha wa Mbeya City et aliwaita wao ni Warundi ndo maana walimdinya ngumi
 
Tff wamepita nae. Kagongwa nyundo tayari, msimu mzima hataruhusiwa kujihusisha na mpira
 
Na huyu kocha wa Mbeya city aliyeanza kukata mitama..tuache kuongea kwa mihemuko
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…