Tukio hili linaonyesha ni jinsi gani wenzetu wako civilised na kwamba watawala Ulaya sio miungu watu kama huku kwetu na hii Tulia Ackson inamhusu

Kwa hapa kwetu, kati ya taasisi zinazoongozwa na watu wajinga kabisa, watu katili, wasio na weledi, watu primitive, wasioelewa thamani ya utu na uhai wa binadamu, ni Polisi.
 
Stupid and non sensical post.
Uthibitisho wa mtu kuwa stupid ni kama wewe ulivyo. Mtu asiyeweza kufanya analysis, akajibu hoja. Ni mtu asiyelewa wala kufundishika au kujifunza kama ulivyo wewe.

Watu werevu hujadili hoja, wana uwezo wa kujifunza kutokana na matendo mazuri au mabaya.
 
Kwa nini sisi tunakubali wao watufitinishe na kwa nini sisi tunashindwa kuwafitinisha wao?
Uwezo wetu wa akili ni mdogo kuliko wao?!
 
Kwanini kusiwe na kipindi maalum cha kuchambuwa ku translate mamba kama haya ili yawafikie wengi? Kama vile wafanyavo kwenye film za kituruki??
 
SWALI ZURI.
Kwa nini sisi tunakubali wao watufitinishe na kwa nini sisi tunashindwa kuwafitinisha wao?
Uwezo wetu wa akili ni mdogo kuliko wao?!
Hebu jifunze kupitia issue za covid kabla sijavuka milima na mabonde.
 
Kuns uhusiano kati ya umasikini uchawi na roho mbaya
 
Dust reason!.
Unajijibu mwenyewe alafu unasema hujitambui.

Vile upo duniani and hujui yaliyopo duniani, hafadhali uendee kubaki hivyo ili kuepuka kuongeza machizi in earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…