Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa hapa kwetu, kati ya taasisi zinazoongozwa na watu wajinga kabisa, watu katili, wasio na weledi, watu primitive, wasioelewa thamani ya utu na uhai wa binadamu, ni Polisi.Ngoja nikusaidie Salary Slip, video yenyewe hii hapa...
View attachment 2082881
Wabunge wanamjadili Mkuu wao wa Serikali alivyo mjinga naye yupo anasikiliza! Kwa hapa kwetu siku hiyo hata FFU wangetinga ndani ya hilo bunge!
(Bahati mbaya, kwa sababu ya lugha, chawa hawataambulia kitu hapa!)
Na hapa wananchi wameamua kukusanyika nje ya jumba anakoishi na kumvurumishia kejeli na dharau bila bughdha yoyote ile...hiyo ndiyo siasa! Hebu angalieni...
View attachment 2082928
Ingekuwa hapa siku hiyo sijui wananchi wangapi wangepoteza maisha mikononi mwa polisi hawa wetu wenye kiu ya damu za Watanzania wanaoonesha tu hisia zao za kutokubaliana na hawa miunguwatu wetu!