Tukio la Familia ya Mzee Ishengoma kuvamiwa usiku Dar, wanaishi kama Digidigi, mmoja anusurika kifo mara 3, waomba msaada kwa Rais Samia

Eneo lina mgogoro hilo, ulitaka wakae wapi ili angalau kulinda eneo na watu waliopo hapo nyumbani?
Hayo mambo ya watu kuishi kwao na miaka 30 inakuhusu nin ukiwa hujui hali zao za maisha?
Hali ya maisha πŸ˜‚πŸ˜‚, mitoto mijinga hii.. inalinda nini hapo, si waende mahakamani..
 
Hujui kitu wewe, kuwa na hati siyo conclusive evidence kuwa nyumba/ardhi ni halali yako.....kama kuna fraud?
Punguza munkari, Sasa kama wanajua wana haki sehem stahiki ya kwenda ni wapi?

Au kuleta kwenye media.
 
Kama baba yako hana nyumba au hajaacha nyumba sio kosa lao acha makasiliko kwao,mkasilikie baba yako.
Sasa ivi me ndio Baba, vip wewe utaacha Nyumba kwa limbukeni wengine? Au na wewe umeachiwa ndio unapambana hapo kwenye hiyo kifusi.
 
Sasa ivi me ndio Baba, vip wewe utaacha Nyumba kwa limbukeni wengine? Au na wewe umeachiwa ndio unapambana hapo kwenye hiyo kifusi.
Ndiyo,Baba yetu kaacha nyumba kadhaa na baadaye na sisi tumejipatia zetu,ulitaka tusirithi nyumba za baba yetu halafu angerithi bibi yako!
Nyie wazee wenu walikuwa wanajengea bar halafu mnakuja kupigia kelele wengine!
 
NDio ujeruhi watu kweli ,kama kweli una haki si uweke mambo hadharani kuliko kutishia maisha watu,jitu linaenda kanisani halafu linataka kudhulumu yatima, atakuwa anaenda kuimba huko kanisani

Waachie watu mambo yao wenyewe
 
Ndiyo,Baba yetu kaacha nyumba kadhaa na baadaye na sisi tumejipatia zetu,ulitaka tusirithi nyumba za baba yetu halafu angerithi bibi yako!
Nyie wazee wenu walikuwa wanajengea bar halafu mnakuja kupigia kelele wengine!
Mzee wako alikuachia nyumba maeneo gani, na wewe una ngapi mpaka sasaivi.. πŸ˜€
 
Kwanini wasikimbilie burundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…