Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Wavuke bila kupita robo au sijaelewa?Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Bora ya Belouizdad kajitahidi kuliko wewe timu yako ilikula tano au leo umesahau?Naona PWAGU na PWAGUZI mmekutana mnajitekenya na kucheka wenyewe
Kwa akili yako mnyama hajawahi mpiga yanga goli 5?Bora ya Belouizdad kajitahidi kuliko wewe timu yako ilikula tano au leo umesahau?
Hizo tano zikamsaidia nini kwasasa kwenye ligi ya NBC? tano za yanga zina manufaa kwasasa. Haya chukua magoli yako matano mliwahi kuyapata muyaongezee kwenye NBC kama historia inasaidia kitu.Kwa akili yako mnyama hajawahi mpiga yanga goli 5?
Wanafika hawana hamu😂Hawa jamaa walikuja wakiwa wanajiamini sana kuwa yanga ni team ndogo, na kwa vile kule kwao waliwafunga 3-0 wakawa na mzaha uwanjani!!!! Kilichotokea daah nafikiri nafikiri mpaka muda huu watakuwa wanagombana uko angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mtani
Tano za kipindi kile Hata App ya jamii forum haipo inatumika website😂😂😂Kwa akili yako mnyama hajawahi mpiga yanga goli 5?
Ila ni 5Tano za kipindi kile Hata App ya jamii forum haipo inatumika website😂😂😂
Hazitambuliki hata na FIFA na CAFIla ni 5
Wakati huo wewe hata ungo haujavunjaKwa akili yako mnyama hajawahi mpiga yanga goli 5?
Kwavile wewe ulivunja ungo basi unafikiri kila mtu anavunja ungo, pole bintWakati huo wewe hata ungo haujavunja
Mnyama yupi? Akiwa bado na nguvu,alifanya. Sasa hivi kachakalika hadi sisimizi wanampanda. Kubali matokeo,alokuwa akibebwa,leo hii anatembeaKwa akili yako mnyama hajawahi mpiga yanga goli 5?
Uzuri una Youtube Nenda kaangalie HighlightHuo uongo ulioleta kuhusu Simba ni hatari kuliko majini mliyomtumia Mayele
Wewe ni mwanamke sasa iweje usivunje?Kwavile wewe ulivunja ungo basi unafikiri kila mtu anavunja ungo, pole bint
Wewe ni mwanamke ndiomaana umevunja ungo, pole bintWewe ni mwanamke sasa iweje usivunje?
Aliyekuwa anatembea sasahivi anakimbia japo ajali njiani hazikosekaniMnyama yupi? Akiwa bado na nguvu,alifanya. Sasa hivi kachakalika hadi sisimizi wanampanda. Kubali matokeo,alokuwa akibebwa,leo hii anatembea
Unaikataa jinsia yako?Wewe ni mwanamke ndiomaana umevunja ungo, pole bint