kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Maaviiii nyie ni mwakarobo tu et mnafikiria kwenda nusu