Tukio la kocha Wa Belouzidad kutaka kuzichapa na mchezaji wake, limenikumbusha tukio la Mohamed Hussein na Manula-Novemba 5

Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...

Maaviiii nyie ni mwakarobo tu et mnafikiria kwenda nusu
 
Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Wavuke bila kupita robo au sijaelewa?
 
Hawa jamaa walikuja wakiwa wanajiamini sana kuwa yanga ni team ndogo, na kwa vile kule kwao waliwafunga 3-0 wakawa na mzaha uwanjani!!!! Kilichotokea daah nafikiri nafikiri mpaka muda huu watakuwa wanagombana uko angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera sana mtani
 
Kwa akili yako mnyama hajawahi mpiga yanga goli 5?
Hizo tano zikamsaidia nini kwasasa kwenye ligi ya NBC? tano za yanga zina manufaa kwasasa. Haya chukua magoli yako matano mliwahi kuyapata muyaongezee kwenye NBC kama historia inasaidia kitu.
 
Hawa jamaa walikuja wakiwa wanajiamini sana kuwa yanga ni team ndogo, na kwa vile kule kwao waliwafunga 3-0 wakawa na mzaha uwanjani!!!! Kilichotokea daah nafikiri nafikiri mpaka muda huu watakuwa wanagombana uko angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera sana mtani
Wanafika hawana hamu😂
 
Mnyama yupi? Akiwa bado na nguvu,alifanya. Sasa hivi kachakalika hadi sisimizi wanampanda. Kubali matokeo,alokuwa akibebwa,leo hii anatembea
Aliyekuwa anatembea sasahivi anakimbia japo ajali njiani hazikosekani
 
Back
Top Bottom