Tukio la kocha Wa Belouzidad kutaka kuzichapa na mchezaji wake, limenikumbusha tukio la Mohamed Hussein na Manula-Novemba 5

Tukio la kocha Wa Belouzidad kutaka kuzichapa na mchezaji wake, limenikumbusha tukio la Mohamed Hussein na Manula-Novemba 5

Naona PWAGU na PWAGUZI mmekutana mnajitekenya na kucheka wenyewe
 
Nilichokigundua yule mchezaji alilalamika kwann hakupangwa kwenye mchezo, hii ilimfanya coach ajiskie vbaya ndipo akabeba juice nakutaka kumponda nalo.

Mahusiano yao yameharbika kuanzia hapo.
 
Nilichokigundua yule mchezaji alilalamika kwann hakupangwa kwenye mchezo, hii ilimfanya coach ajiskie vbaya ndipo akabeba juice nakutaka kumponda nalo.

Mahusiano yao yameharbika kuanzia hapo.
Kuna moja either kocha Asepe au mchezaji
 
Sijapenda namna Pacome alivyokuwa anambidua bidua yule kipa....yule naye ni binaadamu angevunjika nyonga je?
Ana Familia yule...ifikie hatua Pacome aambiwe kua wale wanahitaji kuzaa nao atakuja kuwapa watu matatizo yatakayopelekea kutokutungisha Mimba😂😂
 
Kupatanishwa haiwezekani?
Inawezekana ila kwa Makocha wengi hua hawapendelei kuendelea na mchezaji wa namna hio Do or Die hata akimsamehe atambania sana nafasi ya kucheza.

Suluhu hapo hua ni hizo tu
 
Nilichokigundua yule mchezaji alilalamika kwann hakupangwa kwenye mchezo, hii ilimfanya coach ajiskie vbaya ndipo akabeba juice nakutaka kumponda nalo.

Mahusiano yao yameharbika kuanzia hapo.
Inauma sana unakuta chezaji lenyewe unalibeba tu halina huwezo wowote...
Coach angempiga hata ngumi kabisa..
 
Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Kuvuka nusu fainal ambayo hata hawajawahi kufika?
 
Back
Top Bottom