Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Saba takatifu tena ...ila Yanga ya Gamondi ina ukatili sanaIlikua Mwarabu Afe chuma 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saba takatifu tena ...ila Yanga ya Gamondi ina ukatili sanaIlikua Mwarabu Afe chuma 7
Mwarabu Al ahly ilikuwaje akapata sare?Ilikua Mwarabu Afe chuma 7
Ni matokeo ya kimpira tu... ila nikwambie kua Yanga inacheza Mpira mzuri na unaonekana sana Regardless issue ya matokeoMwarabu Al ahly ilikuwaje akapata sare?
Mi siwaelewi simba, mpira wanacheza mbovu lakini wanaitafuta roboNi matokeo ya kimpira tu... ila nikwambie kua Yanga inacheza Mpira mzuri na unaonekana sana Regardless issue ya matokeo
Tatizo sio simba tatizo ni mashabiki na viongozi wajinga wajinga.Mi siwaelewi simba, mpira wanacheza mbovu lakini wanaitafuta robo
Kuna moja either kocha Asepe au mchezajiNilichokigundua yule mchezaji alilalamika kwann hakupangwa kwenye mchezo, hii ilimfanya coach ajiskie vbaya ndipo akabeba juice nakutaka kumponda nalo.
Mahusiano yao yameharbika kuanzia hapo.
Ana Familia yule...ifikie hatua Pacome aambiwe kua wale wanahitaji kuzaa nao atakuja kuwapa watu matatizo yatakayopelekea kutokutungisha Mimba😂😂Sijapenda namna Pacome alivyokuwa anambidua bidua yule kipa....yule naye ni binaadamu angevunjika nyonga je?
UN iingilie kati Yanga italeta vita vya wenyewe kwa wenyeweHii Team itakuja fanya watu wauane[emoji23][emoji23][emoji23]
Kupatanishwa haiwezekani?Kuna moja either kocha Asepe au mchezaji
Inawezekana ila kwa Makocha wengi hua hawapendelei kuendelea na mchezaji wa namna hio Do or Die hata akimsamehe atambania sana nafasi ya kucheza.Kupatanishwa haiwezekani?
Inauma sana unakuta chezaji lenyewe unalibeba tu halina huwezo wowote...Nilichokigundua yule mchezaji alilalamika kwann hakupangwa kwenye mchezo, hii ilimfanya coach ajiskie vbaya ndipo akabeba juice nakutaka kumponda nalo.
Mahusiano yao yameharbika kuanzia hapo.
Kabisa lo
Kuvuka nusu fainal ambayo hata hawajawahi kufika?Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Wanacheka na wewe mke waoNaona PWAGU na PWAGUZI mmekutana mnajitekenya na kucheka wenyewe