Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Mara paap! wamisunjo kafufuka kawa mzimu ndani ya nairoto
Wamisunjo ni huyo alie jishika kichwa mwenye rasta.

Unaweza shangaa mbona kwa mbele kuna ukuta umeandikwa kiswahili, hilo lilikua duka la mbongo kabla hatujatimuliwa.

Hapo ni Nanhupo.
20191225_095703.jpeg
 
Back
Top Bottom