Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Mi imebidi niagize nyingine, kila nikiona notification yake nachungulia ila holaMkuu malizia story basi popcorn zangu za 200k zinaishia apa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi imebidi niagize nyingine, kila nikiona notification yake nachungulia ila holaMkuu malizia story basi popcorn zangu za 200k zinaishia apa
Nikweli, umetumia msemo sahihi kabisa kwenye machimbo, ukitaka ku survive kwenye hiyo kazi zalima uwe na kundi.Mnyonge hatambi.
Ohooo mmnaenda kuingia kwenye vita nyingine baada ya kusurvive vita vya ugonjwa (laana)?
Aisee angalia tusije kukosa mwendelezo wa story. Hivi hakuna vituo vya ulinzi na usalama hilo eneo?
Mungu amjalie afya nyema mpambanaji, maana akitusua tutafaidi na sisi akija kuwekeza kwetu, hata akija kutanua na kula bata hapa tz tutafaidiaka kwa namna moja ama nyingineMkuu tunashukuru mungu, jana tuliyamaliza kwa vizuri tu (labda kwa wenye chuki tangu zamani)
Mwenyekiti wetu wa Watanzania alikutana na mwenzie wa warundi na mambo kuzungumzwa na kuisha kwa amani.
Tumekubaliana jamaa (warundi) wamtibu jamaa mpaka apone.
Huduma zote kwa muda wote wa kuuguza wao ndio watahusika.
Warundi wamekubali na kuahidi kuyatekeleza.
Lakini mwenye mavi yake (mtuhumiwa)
Kakimbia.
Mgonjwa wetu mpaka asubuhi ya leo nasikia anaendelea vizuri.
Hapana sitaki kuchimba,
Ila wakati mwingine unapoambiwa Mahali sahihi,inaleta uhalisia.
Pengine wengine walishawahi kua hapo ni rahisi kuthibitisha kile unachosimulia.
Maana dunia ni pana lkn kwa teknojia tunakutana.
Maisha ya uchimbaji madini ukishaingia kutoka ni ngumu mno,nina jamaa yangu aliwahi ishi Mererani 10yrs anasema walikuwa wanapata madini ya pesa nyingi lakini wakishauza wanakwenda kutumbua mpaka hela inaisha then wanaanza moja,alikaa huko mpaka akili ilipomrudia akaamua kuachana na hizo shughuli na pia alitoka akiwa amechoka vibaya kiuchumi...
Sasa likiibuka chimbo lingine pa awali pakibaki peupe zile mali zisizohamishika nini mustakabali wake
Oh thanks God, na asitokee tena hapo, vinginevyo sipati picha kitakachomtokea.Katokomea kusiko julikana.
Ila warundi wenzie wamekubali kumtibu jamaa. Na jamaa anaendelea fresh.
Mkuu, nipenda koment yako.Huwezi kuelewa haya mambo mpaka aidha usimuliwe au uwe ushayafanya
Huko kwenye machimbo sio kwamba hatupati hela. Hii migao ya mil 10, mil 20 au 30 ya kutosha tu. Ukiwa mjanja unarudi home unafanya maendeleo kidogo nyingine unaisambaza kwa bats baada ya muda unarudi tena kuchimba
Yaan inakua in mzunguko huo ni wa chache wameweza kuacha kabisa kuchimba na kukomaa home na biashara kwakua unajua kabisa ukienda kule utapata hela nyingi kwa mkupuo. Na kuzitumia pia zinatumika hivyo hivyo kwa mkupuo. Sio kwamba anatunga na sidhani kama hajawahi kupata chenji chenji za mil 10 huko kwenye rubi kwa miaka yote hii anasema toka 2013
Mpak Sahiz unamiliki dollar ngp??Mkuu, nipenda koment yako.
Kwanza niseme nimefuhi kusoma comment ya mtu anae nielewa ninacho kiongea.
Pili nimefurahi kukutana na mponcha mwenzangu, bab kubwa.
Asie kwenda mgodini, anadhani sisi tunatafuta mtaji, hapana.
Kuchimba ni moja ya kazi inayo kuletea pesa nyingi kwa wakati mmoja.
Hivyo hii ni kazi kama kazi zengine.
Kuhusu mgawo wangu mgodini ni 35,000 dollars.
Hii ilikua mwaka 2016, kipindi hicho dollar ipo 2,300.
Hizi chenji mbuzi usiongee.
Tatizo ukiwapa ndugu waziendeleze kuzifanyia biashara nawao wanazilia bata.
Yani sijui wanatuona mafala.
Nimeapa situmi shilling 10, zaidi ya kumtumia mama yangu pesa ndogo ndogo tu, mpaka nipate 50,000 dollars hapo narudi home.
aluta continua kamanda hakuna kuludi nyuma lieutenantMkuu, nipenda koment yako.
Kwanza niseme nimefuhi kusoma comment ya mtu anae nielewa ninacho kiongea.
Pili nimefurahi kukutana na mponcha mwenzangu, bab kubwa.
Asie kwenda mgodini, anadhani sisi tunatafuta mtaji, hapana.
Kuchimba ni moja ya kazi inayo kuletea pesa nyingi kwa wakati mmoja.
Hivyo hii ni kazi kama kazi zengine.
Kuhusu mgawo wangu mgodini ni 35,000 dollars.
Hii ilikua mwaka 2016, kipindi hicho dollar ipo 2,300.
Hizi chenji mbuzi usiongee.
Tatizo ukiwapa ndugu waziendeleze kuzifanyia biashara nawao wanazilia bata.
Yani sijui wanatuona mafala.
Nimeapa situmi shilling 10, zaidi ya kumtumia mama yangu pesa ndogo ndogo tu, mpaka nipate 50,000 dollars hapo narudi home.
Angejua alosto ya miendelezo tuliyokuwa nayo hakika angetuonea huruma na kusitisha anachofanya huko alipo. Ila hizi kazi dah zinahitaji moyo wa ziadaMkuu Kitoabu tuendelee basi...
Au kama umeghairi kumaliza leo tujulishane basi
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app