Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

@chongoe achana nae bhana[emoji3][emoji3]
 
Story nzuri ila maisha ya wachimbaji hayana tofauti na wavuvi miaka hiyo kanda ya ziwa mkoa fulani kabla hawajaanza uvuvi haramu samaki walikua wakubwa na wazuri na mkoa ulikua hauna population kubwa wavuvi walipiga pesa sana ajabu ni kuwa nilikua nikiwaangalia maisha yao yaangukia katika cyle ya vitu hivyo 3 ulivyotaja ni ishara tosha ya uhusiano wa nguvu za kishirikina na mvutano wa pesa kwenye hivyo vitu.....
 
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.maana msimuliaji wetu maneno anayotumia kujibizana na watu humu ni mengi kuliko hata anayotumia kuandika vipande vya story yake😃😃😃
 

tafadhali mpenzi usiimuige mleta mada.

tunaomba uendelee tu,uinalizs story yako inavutia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…