SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Ok bro pambana sana maana Muda ni mchache na watoto wanaitaji kutengenezewa mazingira.
Big up sana kwako...
Mimi ni dada sio kaka[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok bro pambana sana maana Muda ni mchache na watoto wanaitaji kutengenezewa mazingira.
Big up sana kwako...
Ha ha ha haaa nipo bana aisee.Haa!! Upo mkuu? Kitambo Pm yako ushaitoa pattern? Natamani nikukumbushe ila napata tabu hadharani hapa.
Vp akiwashiba akusogezee na wewe uwale?kwa hii story jamaa atakula mademu kichizi
@chongoe achana nae bhana[emoji3][emoji3]Enjoy your lunch dear! Utakapo pata muda uje kumalizia hiyo habari maana imeniogopesha nafikiria sana maana kuna mtu nae aliwahi kunihadithia kila akivaa dhahabu zinapotea zenyewe bila ye kujua ila sikumuamini, kiukweli haikuniingia akilini kabisa!
Nadhani ukimaliza kutueleza mkuu Kitoabu kwavile ameishi kwenye machimbo ataongeza nyama na chongoe kwavile amekuwa akisafirisha majini ataongeza nyama as well
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ngoja aje atupe maujuzi[emoji2][emoji2][emoji2]@chongoe achana nae bhana[emoji3][emoji3]
We acha yaani, nitamalizia baadae ngoja nifike home nitulie alafu nimalizie kilichofuata sasa hahaha....Yani mlikosa amani kabisa
Sawa kabisa wakati tunaendelea kusubiria mundelezoWe acha yaani, nitamalizia baadae ngoja nifike home nitulie alafu nimalizie kilichofuata sasa hahaha....
@NDIZIMSHALE kiboko ya Parabora [emoji23][emoji23]@parabora tumemmiss kweli na story zake za abroad[emoji1][emoji1] rudi bhana mzee
Hahahahakwa hii story jamaa atakula mademu kichizi
Mkuu wewe una miaka mingapi? Niko serious na si utaniHuyo ni marehem Dogo Chiko.
R I P
E meu deus seu.
Asua alma vai discansar em Paz.
Amen View attachment 1625139View attachment 1625140
Wandengereko wana midomo sana ndugu zetu[emoji1787]Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.maana msimuliaji wetu maneno anayotumia kujibizana na watu humu ni mengi kuliko hata anayotumia kuandika vipande vya story yake[emoji2][emoji2][emoji2]
Ww mwanamke upo? Nilijua korona imecheza na ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kweli ukisikia uanaume ndo huu sasa..Endeleza mapambano kamanda lol.
Nifupishe... Ilipofika asubuhi pamoja na ukristo wao wazazi wetu lakini walikubaliana na mzee mmoja jirani yetu watupeleke kwa shekhe mmoja hivi. I can't differentiate him with mganga ila ye anachora chora kwenye karatasi alafu anawaambia nini hasa kilichotokea, kilichopo na nini chakufanya.
Yule shekhe ndio akaanza kusema, aisee over alikuwepo na mdogo wangu kwa jinsi alivyokuwa anasimulia mpaka sonara wa kwanza kupandisha majini maana alikutana na jini lenye nguvu kuliko yeye likamuonya. Kumbe kile kidani chekundu juu ya pete ni jini lilikuwa limewekwa kwenye mfumo wa kidani kwenye Pete ya dhahabu kwaajili ya kazi za yule mwanamke (Hapa sitaingia into details maana hayahusu hii simulizi). Akamtaja mpaka jina la hilo jini kuwa hatatuacha kwasababu tumempeleka sehemu (kwa sonara yule wa pili) amefukuzwa so anatufuata sisi tumrudishe sijui wapi yule shekhe alisema.
Sisi tukaombewa ombewa pale na yule shekhe alafu tukapewa dawa ya kuoga kwa siku saba yaani unaichanganya kwenye maji ya kuoga. Sisi tukatolewa nje ndani wakabaki baba, yule mzee aliyemshauri baba twende kwa huyo shekhe na shekhe mwenyewe wakijadili jambo.