Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Enjoy your lunch dear! Utakapo pata muda uje kumalizia hiyo habari maana imeniogopesha nafikiria sana maana kuna mtu nae aliwahi kunihadithia kila akivaa dhahabu zinapotea zenyewe bila ye kujua ila sikumuamini, kiukweli haikuniingia akilini kabisa!
Nadhani ukimaliza kutueleza mkuu Kitoabu kwavile ameishi kwenye machimbo ataongeza nyama na chongoe kwavile amekuwa akisafirisha majini ataongeza nyama as well

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
@chongoe achana nae bhana[emoji3][emoji3]
 
Story nzuri ila maisha ya wachimbaji hayana tofauti na wavuvi miaka hiyo kanda ya ziwa mkoa fulani kabla hawajaanza uvuvi haramu samaki walikua wakubwa na wazuri na mkoa ulikua hauna population kubwa wavuvi walipiga pesa sana ajabu ni kuwa nilikua nikiwaangalia maisha yao yaangukia katika cyle ya vitu hivyo 3 ulivyotaja ni ishara tosha ya uhusiano wa nguvu za kishirikina na mvutano wa pesa kwenye hivyo vitu.....
 
Nifupishe... Ilipofika asubuhi pamoja na ukristo wao wazazi wetu lakini walikubaliana na mzee mmoja jirani yetu watupeleke kwa shekhe mmoja hivi. I can't differentiate him with mganga ila ye anachora chora kwenye karatasi alafu anawaambia nini hasa kilichotokea, kilichopo na nini chakufanya.
Yule shekhe ndio akaanza kusema, aisee over alikuwepo na mdogo wangu kwa jinsi alivyokuwa anasimulia mpaka sonara wa kwanza kupandisha majini maana alikutana na jini lenye nguvu kuliko yeye likamuonya. Kumbe kile kidani chekundu juu ya pete ni jini lilikuwa limewekwa kwenye mfumo wa kidani kwenye Pete ya dhahabu kwaajili ya kazi za yule mwanamke (Hapa sitaingia into details maana hayahusu hii simulizi). Akamtaja mpaka jina la hilo jini kuwa hatatuacha kwasababu tumempeleka sehemu (kwa sonara yule wa pili) amefukuzwa so anatufuata sisi tumrudishe sijui wapi yule shekhe alisema.
Sisi tukaombewa ombewa pale na yule shekhe alafu tukapewa dawa ya kuoga kwa siku saba yaani unaichanganya kwenye maji ya kuoga. Sisi tukatolewa nje ndani wakabaki baba, yule mzee aliyemshauri baba twende kwa huyo shekhe na shekhe mwenyewe wakijadili jambo.

tafadhali mpenzi usiimuige mleta mada.

tunaomba uendelee tu,uinalizs story yako inavutia sana.
 
Back
Top Bottom