Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Jamaa alikuja vizuri sema mseti ulikataa sijui NDIZIMSHALE walikosana nn au sijui walikuwa wanajuana Mana ule ushaidi sio kabisa kifupi namuomba Parabora aje kivingine na ID mpya au aongee na mods wampe liaccount ambalo halitumik lililofunguliwa kitambo aje amwagike tule mastori.@NDIZIMSHALE kiboko ya Parabora [emoji23][emoji23]
Samwel Mdodo au sijui Mdoe na yule Diehard walimficha vibayaJamaa alikuja vizuri sema mseti ulikataa sijui NDIZIMSHALE walikosana nn au sijui walikuwa wanajuana Mana ule ushaidi sio kabisa kifupi namuomba Parabora aje kivingine na ID mpya au aongee na mods wampe liaccount ambalo halitumik lililofunguliwa kitambo aje amwagike tule mastori.
Watu wanastori Ila hawazikumbuki mpaka waone kichaka nawashauri watengeneze Uzi wao nasio Uzi ndani ya Uzi Mana koment kwenye Uzi inaeza funika mwenye Uzi mfano Uzi wa tuliokaa gerezani mtoa mada alifunikwa na njemba mbili mle
Uwiii stakii kuamini jamani nawe umekua mkulungwa unataka nifwe...sikufii mimi wewe mpaka sisiem itoke madarakani[emoji23][emoji23]Ww mwanamke upo? Nilijua korona imecheza na ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Anyway habar za miaka tele mama.
Kweli wale jamaa walinogesha Sana ule Uzi Yan waliutendea hakiSamwel Mdodo au sijui Mdoe na yule Diehard walimficha vibaya
Tatizo ye aliongea vitu vya kawaida kabisa ambavyo mtu huhitaji jela kuvijua, wenzie wakaja na nondo, na walikuwa sahihi sababu uzi ulitaka kupeana uzoefu kwa watu waliokaa gerezani
Sanaa yani ikawa kama movie vileKweli wale jamaa walinogesha Sana ule Uzi Yan waliutendea haki
Mkuu huyu jamaa kaongelea dragon energy siyo hiyo ya kilevi, dragon energy zinatumika sana kwa madereva na watu wanaofanyakazi ngumu hasa za kukesha..
Kabisa humu watu wanastori nyingi tuu sema ndo hvyo mpaka waone kichaka mie nnayangu ipo siku ntaileta Ila n ya kutafuta kiubishi ubishi sijui Kama n Kali Ila Inafunza kiasiSanaa yani ikawa kama movie vile
Yule mwenye uzi hakuonekana tenaa
Sikumbuki jina la nyuzi zake labda wadau watasaidia,jamaa baada ya maisha kuwa tight walienda kwa mganga na mwenzie ili kupata utajiri,itafute utainjoyMkuu hebu nitag ukiwa na moja kati ya stori zake
Ukiiandika vizuri itavutiaKabisa humu watu wanastori nyingi tuu sema ndo hvyo mpaka waone kichaka mie nnayangu ipo siku ntaileta Ila n ya kutafuta kiubishi ubishi sijui Kama n Kali Ila Inafunza kiasi
Mkuu story tamu sana,maliziaMchezo uliishia wapi?
Basi nikazigawanya zile hela mule mule dukani, nikampa dogo laki mbili zingine nikabaki nazo Mimi. Nikamwambia we pita njia yako nami njia yangu hata Kama tunafuatiliwa tusipokonywe yote na usinunue chochote nikukute home. Baada ya makubaliano mi nikashika njia yangu na dogo nae yake, nikaenda duka flani kununua carpet ya manyoya, nikanunua na subwoofer na vitu vingine vidogo dogo vya kupendezesha chumba na nikabakiwa na chenji kazaa nikarudi home.
Usiku tumelala dogo akashtuka kelele mtindo mmoja huku akining'ang'ania mimi, tukakimbia mpaka sebureni. Nyumba nzima watu wakaamka, nami nimejawa na hofu tele huku sijui nini kimempata dogo. Akawa anaulizwa anaweweseka huku akisema kuna mwarabu mzee amekuja akakaa kitandani anataka.....hasemi anaogopa.
Basi ngoja wadau waje labda wanaweza kutoa msaadaSikumbuki jina la nyuzi zake labda wadau watasaidia,jamaa baada ya maisha kuwa tight walienda kwa mganga na mwenzie ili kupata utajiri,itafute utainjoy
Aisee hatariiMama na mzee wakasema ameota huyu rudini mkalale. Baada ya kukazimishwa na kuingia room tukapanda kitandani yaani nilikuwa mpaka nausikia moyo wa mdogo wangu ulivyokuwa ukimdunda huku akitetemeka nami nikajawa na hofu kuwa hapa Kuna kitu na si ndoto kama wazazi walivyosema. Dakika kumi nyingi, nikashangaa gafra mdogo wangu kaniruka kuja mwisho wa kitanda ukutani. Ile kuangalia tunapopandia kwenye kitanda kwa macho yangu tena kukiwa na giza nikamwona mtu amevaa kanzu nyeupe akiwa na mandevu kibao akifunua neti like naye apande kitandani...
Aisee kelele nilizopiga hazikuwa na mfano
Mwandiko wangu mbaya na Kuna koment za wasomaji ndo huwatoa watu reliniUkiiandika vizuri itavutia
Wengine huwa wanaanzia kukwama kwenye muandiko,
Fanya uilete basi ila usisahau kututag
Mkuu..Sio Kwamba wavuvi na Wachimbaji Wana mifumo hiyo ya maisha...wengi tu.hata walioajiriwa sekta binafsi na serekali hufanya hayo sanaaa...Story nzuri ila maisha ya wachimbaji hayana tofauti na wavuvi miaka hiyo kanda ya ziwa mkoa fulani kabla hawajaanza uvuvi haramu samaki walikua wakubwa na wazuri na mkoa ulikua hauna population kubwa wavuvi walipiga pesa sana ajabu ni kuwa nilikua nikiwaangalia maisha yao yaangukia katika cyle ya vitu hivyo 3 ulivyotaja ni ishara tosha ya uhusiano wa nguvu za kishirikina na mvutano wa pesa kwenye hivyo vitu.....
Hatufanani mi na ww we mtoto wa mama Mimi baharini njo mafia ule kassa@chongoe achana nae bhana[emoji3][emoji3]