Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

@NDIZIMSHALE kiboko ya Parabora [emoji23][emoji23]
Jamaa alikuja vizuri sema mseti ulikataa sijui NDIZIMSHALE walikosana nn au sijui walikuwa wanajuana Mana ule ushaidi sio kabisa kifupi namuomba Parabora aje kivingine na ID mpya au aongee na mods wampe liaccount ambalo halitumik lililofunguliwa kitambo aje amwagike tule mastori.

Watu wanastori Ila hawazikumbuki mpaka waone kichaka nawashauri watengeneze Uzi wao nasio Uzi ndani ya Uzi Mana koment kwenye Uzi inaeza funika mwenye Uzi mfano Uzi wa tuliokaa gerezani mtoa mada alifunikwa na njemba mbili mle
 
Samwel Mdodo au sijui Mdoe na yule Diehard walimficha vibaya
Tatizo ye aliongea vitu vya kawaida kabisa ambavyo mtu huhitaji jela kuvijua, wenzie wakaja na nondo, na walikuwa sahihi sababu uzi ulitaka kupeana uzoefu kwa watu waliokaa gerezani
 
Kweli wale jamaa walinogesha Sana ule Uzi Yan waliutendea haki
 
Mchezo uliishia wapi?
Basi nikazigawanya zile hela mule mule dukani, nikampa dogo laki mbili zingine nikabaki nazo Mimi. Nikamwambia we pita njia yako nami njia yangu hata Kama tunafuatiliwa tusipokonywe yote na usinunue chochote nikukute home. Baada ya makubaliano mi nikashika njia yangu na dogo nae yake, nikaenda duka flani kununua carpet ya manyoya, nikanunua na subwoofer na vitu vingine vidogo dogo vya kupendezesha chumba na nikabakiwa na chenji kazaa nikarudi home.
Usiku tumelala dogo akashtuka kelele mtindo mmoja huku akining'ang'ania mimi, tukakimbia mpaka sebureni. Nyumba nzima watu wakaamka, nami nimejawa na hofu tele huku sijui nini kimempata dogo. Akawa anaulizwa anaweweseka huku akisema kuna mwarabu mzee amekuja akakaa kitandani anataka.....hasemi anaogopa.
Mkuu story tamu sana,malizia
 
Mama na mzee wakasema ameota huyu rudini mkalale. Baada ya kukazimishwa na kuingia room tukapanda kitandani yaani nilikuwa mpaka nausikia moyo wa mdogo wangu ulivyokuwa ukimdunda huku akitetemeka nami nikajawa na hofu kuwa hapa Kuna kitu na si ndoto kama wazazi walivyosema. Dakika kumi nyingi, nikashangaa gafra mdogo wangu kaniruka kuja mwisho wa kitanda ukutani. Ile kuangalia tunapopandia kwenye kitanda kwa macho yangu tena kukiwa na giza nikamwona mtu amevaa kanzu nyeupe akiwa na mandevu kibao akifunua neti like naye apande kitandani...
Aisee kelele nilizopiga hazikuwa na mfano
Aisee hatarii
 
Story nzuri ila maisha ya wachimbaji hayana tofauti na wavuvi miaka hiyo kanda ya ziwa mkoa fulani kabla hawajaanza uvuvi haramu samaki walikua wakubwa na wazuri na mkoa ulikua hauna population kubwa wavuvi walipiga pesa sana ajabu ni kuwa nilikua nikiwaangalia maisha yao yaangukia katika cyle ya vitu hivyo 3 ulivyotaja ni ishara tosha ya uhusiano wa nguvu za kishirikina na mvutano wa pesa kwenye hivyo vitu.....
Mkuu..Sio Kwamba wavuvi na Wachimbaji Wana mifumo hiyo ya maisha...wengi tu.hata walioajiriwa sekta binafsi na serekali hufanya hayo sanaaa...

Kwaiyo Ni Tabia za vijana....Ila baadae WENGINE hubadilika
 
Back
Top Bottom