Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Naam, ingawa wakati mwengine huwa tunajisahau na hizi duaa za kinga lakn zinasaidia mno mno. Mie nasoma kila siku na kwa wtt wangu wadogo wasoweza kusoma wenyewe huwa nasoma then nawapulizia.
Sana sana kumbe na wewe ni muislamu naona angel akili inanipeleka marekani moja kwa moja {nakutania}..

Wao wawekee mkono kichwani kisha unawasomea أعيذكما بكلمات الله تامة من كل شيطان وهامة، ومن كل عين لامة

"Nawakinga kwa maneno ya allah yaliyotimia, kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru"

Hapo hakuna cha yule dada mwarabu wala yeyote duniani atakayeweza kuwadhuru kwa kijicho au husda na zaidi mambo ya mvuje na balaa zingine hazitowahusu..
 
sana sana kumbe na wewe ni muislamu naona angel akili inanipeleka marekani moja kwa moja {nakutania}..

wao wawekee mkono kichwani kisha unawasomea أعيذكما بكلمات الله التامة من كل شيطان وهامة، ومن كل عين لامة

"nawakinga kwa maneno ya allah yaliyotimia, kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru"

hapo hakuna cha yule dada mwarabu wala yeyote duniani atakayeweza kuwadhuru kwa kijicho au husda na zaidi mambo ya mvuje na balaa zingine hazitowahusu..

Hahahahaha haa fake ID hiyo mkuu..... Haswa ndio nisomayo hio mkuu pamoja na bismillah ladhy layadhuru.......... mara 3 ila nikisha mie huwapulizia. Hakika dua za kinga nzuri sana
 
Duuh...

Pole sana ukhty...that was really a havoc....evil spirits are rampant in our houses yaani bora mkautafuta huo msaada....

Dua na visomo nyumbani kila baada ya muda kupita ni muhimu....

Wakati wa kulala nyinyi ama hata kids unaweza kuwapaka mafuta ya "misk" kama haiwasumbui(allergies)....

Usiache kutumia MREHANI(kivumbasi) na chumvi ya mawe katika kuoga mara mojamoja...

Nyumbani kwako kama una space panda MKUNAZI...."hawaupendi".

Ahsante mkuu, basi hapa nilipohamia nitafanya hivyo mana space ipo ya kutosha
 
Hahahahaha haa fake ID hiyo mkuu..... Haswa ndio nisomayo hio mkuu pamoja na bismillah ladhy layadhuru.......... mara 3 ila nikisha mie huwapulizia. Hakika dua za kinga nzuri sana
Hahahaa loh haya nmekuelewa madam sio kwa kutufekisha huko.....sana sana...
haya kahudumie family mengine tutaendelea baadae..
 
Duuh...

Pole sana ukhty...that was really a havoc....evil spirits are rampant in our houses yaani bora mkautafuta huo msaada....

Dua na visomo nyumbani kila baada ya muda kupita ni muhimu....

Wakati wa kulala nyinyi ama hata kids unaweza kuwapaka mafuta ya "misk" kama haiwasumbui(allergies)....

Usiache kutumia MREHANI(kivumbasi) na chumvi ya mawe katika kuoga mara mojamoja...

Nyumbani kwako kama una space panda MKUNAZI...."hawaupendi".
Hio kivumbasi na chumvi inasaidia nn mkuu?
 
Soma unielewe mkuu jeshini sikushindwa ila kimaisha ama future yangu hakuendena na huko. Jeshi lina masharti mpaka lifestyle. Unamjua askari nakatazwa kuishi nyumba moja na RAIA ama hulijui. Hashauriwi kuoa raia
Hilo labda jeshi lako wewe. uliza askari wangapi wameoa/kuolewa na raia
uliza askari wangapi wamepanga kwenye nyumba za raia
inaonesha hulijui jeshi kabisa
 
Hilo labda jeshi lako wewe. uliza askari wangapi wameoa/kuolewa na raia
uliza askari wangapi wamepanga kwenye nyumba za raia
inaonesha hulijui jeshi kabisa

Daa ila watu sijui shida Iko wapi.

Nimekuambia huwa haishauriwi mkuu. Ama haulewi kiswahili.

Unakumbuka enzi za jk mlikuwa mkioana wajeda anawaongezea alfu 90 kila mmoja kama wote ni wajeda so alikuwa ana encourage wajeda kuoana.

Wakipanga huko haina mana kuwa hawataki ama hawashauriwi Bali hawana uwezo Wa kuwapa makazi wote ndo mana wanaacha tu wajitafutie makazi yao. Saivi si Unamjua wanajengewa nyumba Tanzania nzima na haziwatoshi.

Mjeda ama askari yeyote yule huwa hairusiwi ama hashauriwi kwa ethics za kazi yake kujichanganya sana na RAIA wewe huelewi.

Kuwa mjeda Uko tanga afu anzisha biashara utajikuta unahamishiwa mtwara na inakuja order hakuna Ku bargain.

Wanataka watu watiifu Wa kulitumikia jeshi kwa mawazo,akili,uwezo,mwili,roho,macho,masikio,moyo,kwa milango yao yote ya fahamu mkuu zaidi 100%.

Kama hutoelewa basi MIE nikuache ukae na imani yake ya uelewa mana maisha ni kioo kila MTU anacho anachokiona na kukiamini.
Hata Hao wanaoa RAIA wanaoa ila sio kuwa wanakatazwa ila wanashauriwa.

Sijui kama unaielewa ivyo lugha kuwa inashauriwa.

Am tired
 
kwa kuwa muwazi mimi ni muislamu ninaefuata muongozo wa mitume kutoka kwa muumba wa mbingu na ardhi.....sisi tumewekewa utaratibu wa kujikinga na shari za ardhini na za mbinguni kwenye kila sekta ya maisha.....asubuhi kuna maneno maalum tumefundishwa ukiyasoma unapata kinga ya majanga ya aina yote na usiku na wakati wa kulala au wakati wa kuvaa nguo....wakati wa kuingia chooni {maana huishi mashetani huko} wakati wa kula wakati wa kujamiiana na mke/mume inshort kila sehemu kuna maneno maalum ambayo kuyasema ni ibada na effect yake iko accurate kuliko speed ya mwanga....
kuhusu imani nyingine siwezi zungumzia mkuu..
shukran..
Asante ukiamka unatakiwa usemaje kwa kiswahili
 
usijali mkuu....hapana yeye ndo alikuja na alikosa namna ya kukutana na mimi zaidi ya kupitia kwa mtu akipanda kichwani ananipa ujumbe wake then anatoka {hope umewahi kuona watu wakipandisha mashetani} na alitaka tuonane nikamwambia sina muda huo.... inshort majini wana uwezo wa kupenya kwenye mishipa ya damu na wakatembea na kuingia kwenye mwili wa mwanadamu kisha wanadominate akili na wanashika nafasi ya mtu mpaka watoke ndo anarudishiwa akili yake....so alifanya vitimbi vingi kama kuja kusafisha nyumba, kupika n.k ili wife nimuone mzembe yeye ndo anafaa...then kuhusu madhara yes! kama si mtu wa ibada majini wanaweza kukushughulikia kirahisi sana na hawatumii nguvu nyingi....hata ukimkuta mtu anasema sijui haamini hayo mambo ni hayajamkuta tu.....kuhusu ukimkataa ndio unaweza kupata matatizo lakini yanatofautiana unaweza kukosa nguvu za kiume au ukakosa kuoa kama hujaoa au ukawa huna interest na wanawake au ukashindwa kushika mimba kama ni mwanamke.....nafikiri nimekujibu mkuu wangu..
Umenijibu vizuri sana kama ni paper halafu me ndo msahishaji ningekupa 100%
Ila nina swali lingine tena

"Umesema alimuingia mtu ndo ukawa unapata information zote kupitia huyo mtu" mfano sasa ungekubali,
Je, unge date nae kupitia huyo mtu au angejitoa na kuja kwa njia nyingine?
 
Asante ukiamka unatakiwa usemaje kwa kiswahili
okay mkuu hizi ni fupi baadhi ila ziko nyingi sana kama zilivyopokelewa..
1: "sifa njema za ukamilifu ni za allah ambaye amenipa uhai baada ya kuwa amenifisha na kwake yeye ndio kufufuliwa..."
2:"sifa njema za ukamilifu zote anastahiki Allaah ambaye amenipa afya katika mwili wangu, akanirudishia roho yangu na akaniruhusu kumtaja..”
 
Umenijibu vizuri sana kama ni paper halafu me ndo msahishaji ningekupa 100%
Ila nina swali lingine tena

"Umesema alimuingia mtu ndo ukawa unapata information zote kupitia huyo mtu" mfano sasa ungekubali,
Je unge date nae kupitia huyo mtu au angejitoa na kuja kwa njia nyingine?
Hahaha usijali mkuu..

Kilichotokea pale yule ningemkubalia angejitokeza na tungeanza maisha pamoja na alikuwa anakuja usiku kitandani na jirani yangu anamuona ananiambia asubuhi kuna dada wa kiarabu alikuja hapa jana usiku mzuri sana amevaa nguo nyekundu....basi mi najua ni yeye tu naendelea na habari nyingine. Yule alichoka kwasababu hatuendani kabisa na alipata tabu sana kusema na mimi na zaidi aliyeumia ni yule aliyekuwa anapitia kwake ila nilimsaidia na alipata ahueni 99% hiyo moja naweza kuacha percentage of error...
 
Back
Top Bottom