dumbi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2018
- 988
- 1,542
Kwakweli nimempenda mumewe hana shida hapa labda nae ustadh.umegeuka mwalimu wa dua ghafla....ndo neema zenyewe hizi hahaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli nimempenda mumewe hana shida hapa labda nae ustadh.umegeuka mwalimu wa dua ghafla....ndo neema zenyewe hizi hahaa..
usijali kabisa mkuu wangu....karibu wakati wote..Asante sana kwa muda wako ulioutumia kunijibu maswali yangu nadhani nimemaliza maswali kwa sasa kama nitapata lingine sitosita kukuuliza kwa maana unaonekana una ufahamu na hayo mambo.
Picha tafadhali ili nikayatafute
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wow [emoji2956]
Unaenda kwenye profile yako unabofya Setting kisha Unread Handling halafu Post JumpingUnaseti vipi watu tuweke hapa masaibu yetu?
Asante ,, tena kuna lingine limenijia ghalfausijali kabisa mkuu wangu....karibu wakati wote..
[emoji38][emoji38][emoji38]Usiende njombe hivyo ni dili sana.
Mkuu unaonekana una ujuzi kidogo na hawa jamaa.dah mkuu majini ni viumbe tofauti na sisi wanapaswa kuoana wao kwa wao....hatufanani kwa lolote sema wao wana mapenzi na wivu wa ajabu kwa wanadamu wakikupenda.....iko siku ntahadithia mkuu ila hawezani na mimi yule na kiufupi alitaka nimtimue wife nikae nae yeye akaniletea bla bla za pete sijui na takataka gani na mimi sifananii hayo mambo....
Daah mkuu una maswali heavy, ila asante sababu kupitia maswali yako ninajufunza kitu kulingana na majibu ya huyo chie!Umenijibu vizuri sana kama ni paper halafu me ndo msahishaji ningekupa 100%
Ila nina swali lingine tena
"Umesema alimuingia mtu ndo ukawa unapata information zote kupitia huyo mtu" mfano sasa ungekubali,
Je unge date nae kupitia huyo mtu au angejitoa na kuja kwa njia nyingine?
Mkuu unaonekana una ujuzi kidogo na hawa jamaa.
Ukianzisha uzi kuhusiana nao naomba uni-tag.
Ila nina ombi kidogo iwapo utaanzisha mada kuhusiana nao, naomba utujuze mengi kadri uwezavyo kuhusu wao mfano, maisha yao na jamii zao, namna gani wana-interact na sisi na effect zao kwetu, uwezo wao na limitation zao kwetu.
Maana nakumbuka kama uliwahi kusema ukiwajulia hawakusumbui ila kama huna ufahamu nao cha moto utakiona.
Naomba utujuze unayoyafahamu kuhusu wao chief.
Shukran.
Asante kwa jamaa maana mimi pia kuna vitu nimevujua na kama atakua willing na available naamini tutajua mengi zaidi.Daah mkuu una maswali heavy, ila asante sababu kupitia maswali yako ninajufunza kitu kulingana na majibu ya huyo chie!
Asante ,, tena kuna lingine limenijia ghalfa
Nimewahi kusikia kua katika uislamu kuna majini mazuri na majini mabaya.
Wapo majini ambao ni waislamu, walisikia mawaidha then waka slimu. Je kuna ukweli wowote hapo?
Kama upo ukweli wowote naomba unipe darasa kidogo au ufafanuzi ipoje hiyo, hapa namaanisha
Je na wenyewe wana misikiti yao popote walipo wanapoishi, au wanatumia hii misikiti ya kawaida?
Noted mkuu ntafanya hivyo....na ntakutag pia tukijaaliwa....asante kwa appreciation!...Mkuu unaonekana una ujuzi kidogo na hawa jamaa.
Ukianzisha uzi kuhusiana nao naomba uni-tag.
Ila nina ombi kidogo iwapo utaanzisha mada kuhusiana nao, naomba utujuze mengi kadri uwezavyo kuhusu wao mfano, maisha yao na jamii zao, namna gani wana-interact na sisi na effect zao kwetu, uwezo wao na limitation zao kwetu.
Maana nakumbuka kama uliwahi kusema ukiwajulia hawakusumbui ila kama huna ufahamu nao cha moto utakiona.
Naomba utujuze unayoyafahamu kuhusu wao chief.
Shukran.
hakuna neno mkuu mimi sina tabu nitajaribu kutenga muda niandike mada ndefu lakini isiyochosha kisha ntapost nadhani jukwaa la intelligence....Naunga mkono hii hoja,, naomba mkuu atufungulie uzi atupe information zaidi kwa lengo la kujifunza na kujua mengi ambayo naamini kwa namna moja au nyingine yanaweza kutusaidia.Asante kwa jamaa maana mimi pia kuna vitu nimevujua na kama atakua willing na available naamini tutajua mengi zaidi.
Mkuu nimekucheki PM.noted mkuu ntafanya hivyo....na ntakutag pia tukijaaliwa....asante kwa appreciation!...
shukran..
nmeona mkuu..Mkuu nimekucheki PM.
Mashaytaan ndo vitu ganiNi kujikinga kwa jina lake Allah kwa kila kitu kibaya au kiovu (wadudu, moto, mashaytaan nk) kilichopo kwenye ardh na mpk mbinguni
Shukrani Sana mkuu wangupicha ya nini miski ama?!....kama ndio ulichokusudia sio kila miski bali ukifika maduka ya dawa asilia sema nataka miski nyeupe....price inarange 1500-3000tzs na harufu yake ni disturbing kidogo ni nyeupe kama maji.....ila mafuta mazito kwa kukuwepesishia origin ya miski ni mafuta ya swala { gazelle } na miski nyeupe ndio dawa nyekundu ni manukato....ya chenga ni dawa ya upele na matatizo ya ngozi ikichanganywa na vitu fulani....so wewe kaulizie miski
nyeupe.....ukiachana na hayo hapo juu kama una mke akimaliza mzunguko wake wa mwezi awe anapaka ile siku aliyomaliza inaondoa harufu na athari yote ya MP..
shukran..
Mkuu ni kweli ukienda sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu eg. Sokoni ukainama chini na kuchungulia kupitia miguu yako unaweza kuwaona majini?hahaha eti limekuja ghafla..
anyway kupunguza wingi wa maneno lakini pia kusaidia kuondoa sintofahamu unatakiwa utambue mkuu majini wako hapa duniani kabla yetu sisi wanadamu namaanisha wao wametutangulia kuja hapa duniani..
hicho ulichokisema ni simple logic tu jini ndio jina asilia la viumbe hao na limeitwa hivyo sababu hawaonekani...... akiwa mwema asiyefanya madhambi kama kuwaingilia wanadamu au machafu mengine anabaki kwenye asili ya kuitwa JINI lakini akiwa muovu anatoka kwenye lengo la kuumbwa kwake anaitwa SHETANI..
majini wazuri wanakaa sehemu nzuri za kheri miskitini, kwenye nyumba za watu wema n.k na wale mashetani wanaishi kwenye vyoo, majalala, misitu mikubwa, masokoni na sehemu panapofanyika mambo machafu na maovu.....na hawa kwa ujumla wao ni jeshi la ibliys ambaye ndie muovu zaidi na kiongozi wao....lakini wao pia wana umma mkubwa kuna wenye nguvu, madhaifu na wenye uwezo wa katikati..
mbele ya uislamu majini na wanadamu na wanyama ni viumbe kwa umoja wao na wanazingatiwa na sheria kwa ujumla wao kila mmoja na haki yake..
karibu sana mkuu wakati mwingine..Shukrani Sana mkuu wangu