Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Dah eti wanaogopa majini acheni ushamba nyie kuna mjinga yupo nje ya nchi nilimuunganisha na jini kutoka hatambulwa mkuranga hio
 
Picha ya nini miski ama?!....kama ndio ulichokusudia sio kila miski bali ukifika maduka ya dawa asilia sema nataka miski nyeupe....price inarange 1500-3000tzs na harufu yake ni disturbing kidogo ni nyeupe kama maji.....ila mafuta mazito kwa kukuwepesishia origin ya miski ni mafuta ya swala { gazelle } na miski nyeupe ndio dawa nyekundu ni manukato....ya chenga ni dawa ya upele na matatizo ya ngozi ikichanganywa na vitu fulani....so wewe kaulizie miski
nyeupe.....ukiachana na hayo hapo juu kama una mke akimaliza mzunguko wake wa mwezi awe anapaka ile siku aliyomaliza inaondoa harufu na athari yote ya MP..
shukran..
Picha tafadhali ili nikayatafute
 
Unaseti vipi watu tuweke hapa masaibu yetu?
Unaenda kwenye profile yako unabofya Setting kisha Unread Handling halafu Post Jumping

Utakuta jump to original post-Hapa kila ukifungua inaanzia juu kwenyw uzi

Kuna Jump to First Unread-Hapa ukifungua unaanzia ulipoishia

Halafu kuna Jump To Most Recent-Hapa ukifungua unaanzia chini/Mwisho

Sasa kwa hitaji lako chagua hiyo Jump To Unread Post
 
usijali kabisa mkuu wangu....karibu wakati wote..
Asante ,, tena kuna lingine limenijia ghalfa

Nimewahi kusikia kua katika uislamu kuna majini mazuri na majini mabaya.
Wapo majini ambao ni waislamu, walisikia mawaidha then waka slimu. Je kuna ukweli wowote hapo?
Kama upo ukweli wowote naomba unipe darasa kidogo au ufafanuzi ipoje hiyo, hapa namaanisha

Je, na wenyewe wana misikiti yao popote walipo wanapoishi, au wanatumia hii misikiti ya kawaida?
 
dah mkuu majini ni viumbe tofauti na sisi wanapaswa kuoana wao kwa wao....hatufanani kwa lolote sema wao wana mapenzi na wivu wa ajabu kwa wanadamu wakikupenda.....iko siku ntahadithia mkuu ila hawezani na mimi yule na kiufupi alitaka nimtimue wife nikae nae yeye akaniletea bla bla za pete sijui na takataka gani na mimi sifananii hayo mambo....
Mkuu unaonekana una ujuzi kidogo na hawa jamaa.

Ukianzisha uzi kuhusiana nao naomba uni-tag.

Ila nina ombi kidogo iwapo utaanzisha mada kuhusiana nao, naomba utujuze mengi kadri uwezavyo kuhusu wao mfano, maisha yao na jamii zao, namna gani wana-interact na sisi na effect zao kwetu, uwezo wao na limitation zao kwetu.

Maana nakumbuka kama uliwahi kusema ukiwajulia hawakusumbui ila kama huna ufahamu nao cha moto utakiona.
Naomba utujuze unayoyafahamu kuhusu wao chief.
Shukran.
 
Umenijibu vizuri sana kama ni paper halafu me ndo msahishaji ningekupa 100%
Ila nina swali lingine tena

"Umesema alimuingia mtu ndo ukawa unapata information zote kupitia huyo mtu" mfano sasa ungekubali,
Je unge date nae kupitia huyo mtu au angejitoa na kuja kwa njia nyingine?
Daah mkuu una maswali heavy, ila asante sababu kupitia maswali yako ninajufunza kitu kulingana na majibu ya huyo chie!
 
Naunga mkono hii hoja,, naomba mkuu atufungulie uzi atupe information zaidi kwa lengo la kujifunza na kujua mengi ambayo naamini kwa namna moja au nyingine yanaweza kutusaidia.
Mkuu unaonekana una ujuzi kidogo na hawa jamaa.
Ukianzisha uzi kuhusiana nao naomba uni-tag.

Ila nina ombi kidogo iwapo utaanzisha mada kuhusiana nao, naomba utujuze mengi kadri uwezavyo kuhusu wao mfano, maisha yao na jamii zao, namna gani wana-interact na sisi na effect zao kwetu, uwezo wao na limitation zao kwetu.
Maana nakumbuka kama uliwahi kusema ukiwajulia hawakusumbui ila kama huna ufahamu nao cha moto utakiona.
Naomba utujuze unayoyafahamu kuhusu wao chief.
Shukran.
Daah mkuu una maswali heavy, ila asante sababu kupitia maswali yako ninajufunza kitu kulingana na majibu ya huyo chie!
Asante kwa jamaa maana mimi pia kuna vitu nimevujua na kama atakua willing na available naamini tutajua mengi zaidi.
 
Asante ,, tena kuna lingine limenijia ghalfa

Nimewahi kusikia kua katika uislamu kuna majini mazuri na majini mabaya.
Wapo majini ambao ni waislamu, walisikia mawaidha then waka slimu. Je kuna ukweli wowote hapo?
Kama upo ukweli wowote naomba unipe darasa kidogo au ufafanuzi ipoje hiyo, hapa namaanisha

Je na wenyewe wana misikiti yao popote walipo wanapoishi, au wanatumia hii misikiti ya kawaida?

Hahaha eti limekuja ghafla..
anyway kupunguza wingi wa maneno lakini pia kusaidia kuondoa sintofahamu unatakiwa utambue mkuu majini wako hapa duniani kabla yetu sisi wanadamu namaanisha wao wametutangulia kuja hapa duniani.

hicho ulichokisema ni simple logic tu jini ndio jina asilia la viumbe hao na limeitwa hivyo sababu hawaonekani...... akiwa mwema asiyefanya madhambi kama kuwaingilia wanadamu au machafu mengine anabaki kwenye asili ya kuitwa JINI lakini akiwa muovu anatoka kwenye lengo la kuumbwa kwake anaitwa SHETANI..

majini wazuri wanakaa sehemu nzuri za kheri miskitini, kwenye nyumba za watu wema n.k na wale mashetani wanaishi kwenye vyoo, majalala, misitu mikubwa, masokoni na sehemu panapofanyika mambo machafu na maovu.....na hawa kwa ujumla wao ni jeshi la ibliys ambaye ndie muovu zaidi na kiongozi wao....lakini wao pia wana umma mkubwa kuna wenye nguvu, madhaifu na wenye uwezo wa katikati..

mbele ya uislamu majini na wanadamu na wanyama ni viumbe kwa umoja wao na wanazingatiwa na sheria kwa ujumla wao kila mmoja na haki yake..
 
Mkuu unaonekana una ujuzi kidogo na hawa jamaa.
Ukianzisha uzi kuhusiana nao naomba uni-tag.

Ila nina ombi kidogo iwapo utaanzisha mada kuhusiana nao, naomba utujuze mengi kadri uwezavyo kuhusu wao mfano, maisha yao na jamii zao, namna gani wana-interact na sisi na effect zao kwetu, uwezo wao na limitation zao kwetu.
Maana nakumbuka kama uliwahi kusema ukiwajulia hawakusumbui ila kama huna ufahamu nao cha moto utakiona.
Naomba utujuze unayoyafahamu kuhusu wao chief.
Shukran.
Noted mkuu ntafanya hivyo....na ntakutag pia tukijaaliwa....asante kwa appreciation!...
shukran..
 
Naunga mkono hii hoja,, naomba mkuu atufungulie uzi atupe information zaidi kwa lengo la kujifunza na kujua mengi ambayo naamini kwa namna moja au nyingine yanaweza kutusaidia.Asante kwa jamaa maana mimi pia kuna vitu nimevujua na kama atakua willing na available naamini tutajua mengi zaidi.
hakuna neno mkuu mimi sina tabu nitajaribu kutenga muda niandike mada ndefu lakini isiyochosha kisha ntapost nadhani jukwaa la intelligence....
shukran sana pia..
 
picha ya nini miski ama?!....kama ndio ulichokusudia sio kila miski bali ukifika maduka ya dawa asilia sema nataka miski nyeupe....price inarange 1500-3000tzs na harufu yake ni disturbing kidogo ni nyeupe kama maji.....ila mafuta mazito kwa kukuwepesishia origin ya miski ni mafuta ya swala { gazelle } na miski nyeupe ndio dawa nyekundu ni manukato....ya chenga ni dawa ya upele na matatizo ya ngozi ikichanganywa na vitu fulani....so wewe kaulizie miski
nyeupe.....ukiachana na hayo hapo juu kama una mke akimaliza mzunguko wake wa mwezi awe anapaka ile siku aliyomaliza inaondoa harufu na athari yote ya MP..
shukran..
Shukrani Sana mkuu wangu
 
hahaha eti limekuja ghafla..
anyway kupunguza wingi wa maneno lakini pia kusaidia kuondoa sintofahamu unatakiwa utambue mkuu majini wako hapa duniani kabla yetu sisi wanadamu namaanisha wao wametutangulia kuja hapa duniani..
hicho ulichokisema ni simple logic tu jini ndio jina asilia la viumbe hao na limeitwa hivyo sababu hawaonekani...... akiwa mwema asiyefanya madhambi kama kuwaingilia wanadamu au machafu mengine anabaki kwenye asili ya kuitwa JINI lakini akiwa muovu anatoka kwenye lengo la kuumbwa kwake anaitwa SHETANI..

majini wazuri wanakaa sehemu nzuri za kheri miskitini, kwenye nyumba za watu wema n.k na wale mashetani wanaishi kwenye vyoo, majalala, misitu mikubwa, masokoni na sehemu panapofanyika mambo machafu na maovu.....na hawa kwa ujumla wao ni jeshi la ibliys ambaye ndie muovu zaidi na kiongozi wao....lakini wao pia wana umma mkubwa kuna wenye nguvu, madhaifu na wenye uwezo wa katikati..

mbele ya uislamu majini na wanadamu na wanyama ni viumbe kwa umoja wao na wanazingatiwa na sheria kwa ujumla wao kila mmoja na haki yake..
Mkuu ni kweli ukienda sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu eg. Sokoni ukainama chini na kuchungulia kupitia miguu yako unaweza kuwaona majini?
 
Back
Top Bottom