Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana sana kumbe na wewe ni muislamu naona angel akili inanipeleka marekani moja kwa moja {nakutania}..Naam, ingawa wakati mwengine huwa tunajisahau na hizi duaa za kinga lakn zinasaidia mno mno. Mie nasoma kila siku na kwa wtt wangu wadogo wasoweza kusoma wenyewe huwa nasoma then nawapulizia.
sana sana kumbe na wewe ni muislamu naona angel akili inanipeleka marekani moja kwa moja {nakutania}..
wao wawekee mkono kichwani kisha unawasomea أعيذكما بكلمات الله التامة من كل شيطان وهامة، ومن كل عين لامة
"nawakinga kwa maneno ya allah yaliyotimia, kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru"
hapo hakuna cha yule dada mwarabu wala yeyote duniani atakayeweza kuwadhuru kwa kijicho au husda na zaidi mambo ya mvuje na balaa zingine hazitowahusu..
Duuh...
Pole sana ukhty...that was really a havoc....evil spirits are rampant in our houses yaani bora mkautafuta huo msaada....
Dua na visomo nyumbani kila baada ya muda kupita ni muhimu....
Wakati wa kulala nyinyi ama hata kids unaweza kuwapaka mafuta ya "misk" kama haiwasumbui(allergies)....
Usiache kutumia MREHANI(kivumbasi) na chumvi ya mawe katika kuoga mara mojamoja...
Nyumbani kwako kama una space panda MKUNAZI...."hawaupendi".
Hahahaa loh haya nmekuelewa madam sio kwa kutufekisha huko.....sana sana...Hahahahaha haa fake ID hiyo mkuu..... Haswa ndio nisomayo hio mkuu pamoja na bismillah ladhy layadhuru.......... mara 3 ila nikisha mie huwapulizia. Hakika dua za kinga nzuri sana
Hio kivumbasi na chumvi inasaidia nn mkuu?Duuh...
Pole sana ukhty...that was really a havoc....evil spirits are rampant in our houses yaani bora mkautafuta huo msaada....
Dua na visomo nyumbani kila baada ya muda kupita ni muhimu....
Wakati wa kulala nyinyi ama hata kids unaweza kuwapaka mafuta ya "misk" kama haiwasumbui(allergies)....
Usiache kutumia MREHANI(kivumbasi) na chumvi ya mawe katika kuoga mara mojamoja...
Nyumbani kwako kama una space panda MKUNAZI...."hawaupendi".
Hilo labda jeshi lako wewe. uliza askari wangapi wameoa/kuolewa na raiaSoma unielewe mkuu jeshini sikushindwa ila kimaisha ama future yangu hakuendena na huko. Jeshi lina masharti mpaka lifestyle. Unamjua askari nakatazwa kuishi nyumba moja na RAIA ama hulijui. Hashauriwi kuoa raia
Hilo labda jeshi lako wewe. uliza askari wangapi wameoa/kuolewa na raia
uliza askari wangapi wamepanga kwenye nyumba za raia
inaonesha hulijui jeshi kabisa
Asante ukiamka unatakiwa usemaje kwa kiswahilikwa kuwa muwazi mimi ni muislamu ninaefuata muongozo wa mitume kutoka kwa muumba wa mbingu na ardhi.....sisi tumewekewa utaratibu wa kujikinga na shari za ardhini na za mbinguni kwenye kila sekta ya maisha.....asubuhi kuna maneno maalum tumefundishwa ukiyasoma unapata kinga ya majanga ya aina yote na usiku na wakati wa kulala au wakati wa kuvaa nguo....wakati wa kuingia chooni {maana huishi mashetani huko} wakati wa kula wakati wa kujamiiana na mke/mume inshort kila sehemu kuna maneno maalum ambayo kuyasema ni ibada na effect yake iko accurate kuliko speed ya mwanga....
kuhusu imani nyingine siwezi zungumzia mkuu..
shukran..
Tuelekezane basi wadauNaam, ingawa wakati mwengine huwa tunajisahau na hizi duaa za kinga lakn zinasaidia mno mno. Mie nasoma kila siku na kwa wtt wangu wadogo wasoweza kusoma wenyewe huwa nasoma then nawapulizia.
Nini maana yakeHahahahaha haa fake ID hiyo mkuu..... Haswa ndio nisomayo hio mkuu pamoja na bismillah ladhy layadhuru.......... mara 3 ila nikisha mie huwapulizia. Hakika dua za kinga nzuri sana
@msaaka jr mkuu umeniitaOnly Alvira?
Nini maana yake
Naomba nikuulize swali mkuu[emoji23][emoji23]
Asante ukiamka unatakiwa usemaje kwa kiswahili
Umenijibu vizuri sana kama ni paper halafu me ndo msahishaji ningekupa 100%usijali mkuu....hapana yeye ndo alikuja na alikosa namna ya kukutana na mimi zaidi ya kupitia kwa mtu akipanda kichwani ananipa ujumbe wake then anatoka {hope umewahi kuona watu wakipandisha mashetani} na alitaka tuonane nikamwambia sina muda huo.... inshort majini wana uwezo wa kupenya kwenye mishipa ya damu na wakatembea na kuingia kwenye mwili wa mwanadamu kisha wanadominate akili na wanashika nafasi ya mtu mpaka watoke ndo anarudishiwa akili yake....so alifanya vitimbi vingi kama kuja kusafisha nyumba, kupika n.k ili wife nimuone mzembe yeye ndo anafaa...then kuhusu madhara yes! kama si mtu wa ibada majini wanaweza kukushughulikia kirahisi sana na hawatumii nguvu nyingi....hata ukimkuta mtu anasema sijui haamini hayo mambo ni hayajamkuta tu.....kuhusu ukimkataa ndio unaweza kupata matatizo lakini yanatofautiana unaweza kukosa nguvu za kiume au ukakosa kuoa kama hujaoa au ukawa huna interest na wanawake au ukashindwa kushika mimba kama ni mwanamke.....nafikiri nimekujibu mkuu wangu..
okay mkuu hizi ni fupi baadhi ila ziko nyingi sana kama zilivyopokelewa..Asante ukiamka unatakiwa usemaje kwa kiswahili
Hahaha usijali mkuu..Umenijibu vizuri sana kama ni paper halafu me ndo msahishaji ningekupa 100%
Ila nina swali lingine tena
"Umesema alimuingia mtu ndo ukawa unapata information zote kupitia huyo mtu" mfano sasa ungekubali,
Je unge date nae kupitia huyo mtu au angejitoa na kuja kwa njia nyingine?
Wewe ni dini gani na unahitaji kujua nini....unaweza kuja PM nikakuelekeza vizuri bila kuharibu uzi wa watu mkuu wangu...Tuelekezane basi wadau