Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Uzi umechukua uelekeo mpya.Huu uzi ushaanza kutisha sasa na mambo ya mashetani na majini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi umechukua uelekeo mpya.Huu uzi ushaanza kutisha sasa na mambo ya mashetani na majini.
Uzi umechukua uelekeo mpya.
Kabisa yani mkuu hapa leo ili nipate usingizi sitazima taa mpaka asubuhi. Bora ningelala nije niusomesome kesho mchana
Sio hivyo mamii. Mi sio msimuliaji mzuri alafu it gives me bad feelings to remember each and every point of what I went through😭😭Na ndio ukaamua kutuweka pending mazimaaa [emoji24][emoji24]
Ila at the end uliweza kulikabili vizuri na mwanao akawa salama right?Hahahahaha hahahahaha mie mwenyewe niliuhama mana nlikua naona kama sitolala kwa raha nlikua nishaanza kutishika
Mkuu tumalizie basi jamaniSio hivyo mamii. Mi sio msimuliaji mzuri alafu it gives me bad feelings to remember each and every point of what I went through[emoji24][emoji24]
Ila jua haya madude kama huna kinga na sio mtu wa ibada sio mazuri kabisa. Yaani don't ever entertain them. Nikisikiaga fulani ana majini hasa mabinti na kina mama huwa nashangaa sana.
Ila at the end uliweza kulikabili vizuri na mwanao akawa salama right?
I agree with youNaam tupo poa kabisa, visomo vya hapa na pale bado tunaendelea navyo.:... na duaa hatutakiwi tujisahau tukawapa gap hawa jamaa
Sawa ngoja nitafute muda, niiandike yoote mpaka mwisho hapahapa.Wakuu mm sio mpenzi sana wa kucomment ila ni msomaji na mfuatiliaji mzuri sana na napenda life experience stories. Nawaomba Mbwichichi na fyddell mmalizie stori zenu watu tunaacha kufanya kazi kuangalia kama mshamalizia 🙏🙏🙏
Basi alivyotoka hapo aliingia upande wa kushoto wa hilo korongo akapitiwa na usingizi kidogo kuja kushtuka tayari kumeshakucha,akiwa anatafakari nini cha kufanya akaiona boti zile za wavuvi ikabidi aombe msaada,wakamleta mpk eneo 1 linaitwa timbuktu lkn kumbuka alikua ameficha hizo dhahabu kiuoni lkn ile amefika tu akashangaa kukuta zimegeuka kua shanga/chachandu.Daa hii stort sasa ndio siielewi imeishia wapi. Kuitafuta kwenye comments ni ishu sana. Mi niliishia pale jamaa anatoroka na amefika kwenye kolongo alilotegemea lingekua na maji mengi lakini hakukuta maji [emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana!Sio hivyo mamii. Mi sio msimuliaji mzuri alafu it gives me bad feelings to remember each and every point of what I went through[emoji24][emoji24]
Ila jua haya madude kama huna kinga na sio mtu wa ibada sio mazuri kabisa. Yaani don't ever entertain them. Nikisikiaga fulani ana majini hasa mabinti na kina mama huwa nashangaa sana.
Kutunga ni kipaji ujue??why are you running?? au una Pause ili uendelee kutunga kwanza
Sauti tu, wa jinsia ke huwa anasema nikimuona katika umbo la binadamu ntaweza mtamani bora nisimuone [emoji1][emoji1] hapa panafikirishaExciting mkuu, sasa hua unawaona physically au ni sauti Tu? Na kama ni physically hua wanakuja katika maumbo gani? Ngoma inogile
Ndio maana nimeshangaa kuona utofauti mkubwa sana na story zilivyokuwa kuwahusu ndio nikagundua ni ngumu kujua jamii zao zote sikuwahi jua kuwa kuna wasio ogopa au kuchukia kitimoto, kuingia kanisani nk na mchungaji Muongo watakwambia pale pale huyu muongo ukifatilia ni kweli nazani alieumba ndie anaelewa vizuri uumbaji wake...Hao walokole ambao sio feki washafika na feki pia dunia ni pana ni jibu nililobaki nalo.Wanapoishi ni kwenye ngome yao sijajua mazingira gani sababu siwezi fika huko ila najua wanakula matunda na vyakula vya kawaidaMh majini kwa walokole! (Labda kwa walokole feki)
Jini mpenda kitimoto!
Kwa mujibu wa biblia all demons are agents of Satan.
Kwakukaa nao miaka yote hiyo hukuwahi kuwauliza wanatokea wapi?
Inshaalah itabidi nianze kujifunza mimi nilikimbia madrasa halafu sipendi kusoma kitu kwa kiarabu bila kujua maana yake,hii ndio olisababisha niliachaHa hahahahaha ati ustaadh, hapana nimejifunza mwenyewe tu yangu mdogo na naendelea kuzifanyia kazi. Unajiskia raha na salama kama kila wakati mdomo wako utakuwa wenye kuleta dhikr na duaa..... Kila unachofanya tanguliza na duaa kutoka unapoamka mpk unapolala ivo ndivo tulivousiwa na Mtume wetu SAW. Dunia ina mengi hii tunoyaona na tusoyaona
Kwani story yako ishaisha?Wengine tukisimulia haya wanadhani ni utani au uongo, kumbe kuna watu tumekutana na vimbwanga vya hawa jamaa. Ile dawa nilikatisha kwa ujinga wangu mwenyewe maana imani yangu ilikuwa nusu nusu. Nusu niwe chizi kwa maneno ya wazazi na wanafunzi wenzangu chuoni. Isingekuwa yule shekhe kuingila kati na kunichukua kwa visomo na kusimamiwa dawa (nyingine) nimalizie huko viziwani Z'bar, sasa tungekuwa tunaongea mengine.
Dhahabu naichukia, sitakuja kuivaa maana inaniletea kumbukumbu mbaya sana maishani mwangu ingawa nishaizoea hii hali.
Kwahiyo kama ni matunda na vyakula vya kawaida hawa wanaotakaga damu ni wale wabaya?Ndio maana nimeshangaa kuona utofauti mkubwa sana na story zilivyokuwa kuwahusu ndio nikagundua ni ngumu kujua jamii zao zote sikuwahi jua kuwa kuna wasio ogopa au kuchukia kitimoto, kuingia kanisani nk na mchungaji Muongo watakwambia pale pale huyu muongo ukifatilia ni kweli nazani alieumba ndie anaelewa vizuri uumbaji wake...Hao walokole ambao sio feki washafika na feki pia dunia ni pana ni jibu nililobaki nalo.Wanapoishi ni kwenye ngome yao sijajua mazingira gani sababu siwezi fika huko ila najua wanakula matunda na vyakula vya kawaida
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Bado haijaisha kwasababu kuna vitu vingine napata tabu na siikumbuki vizuri ni zaidi ya miaka 8 Sasa, ndiomana nataka niiandike yote tumalizane nikipata muda wakutosha.Kwani story yako ishaisha?