Kwanza walikua wageni hawajawahi kushirikiana na wanadamu,walikuja kunisaidia tatizo la mke wangu liliisha baada ya kusumbuka sana kwa wataalamu mbali mbali na watu wa dini bila mafanikio,baada ya tatizo kuisha tukawa kama marafiki tu wanapenda kula vyakula ambavyo ni vya kawaida soda,biskuit,wali,ugali nk hawajawahi kuhitaji manukato wala kuhitaji chochote niwape,pia huwa nakauli kwao hii ndio inayofanya watu washangae utofauti huo kwani wakifanya jambo sijaliafiki nnauwezo wa kuwakosoa na wakaomba radhi na wao pia nikiwakosea huwa nawaomba radhi nimewafundisha vitu vingi pesa za huku hii sh hii na hii ni hii,kutumia simu kucheza games nk na upandaji wao mwanzo ilikua tabu kwa mke wangu maana atadondoka anachoka sana baadae wakafanyaje ila imekua tu nikiita kwa jina tu anakuja bila kudondoka au kuonyesha dalili yoyote hata tuwe kwa watu wengi mtu hawezi jua kwa wakati huo siongei na mke wangu yanafikirisha sana,sisi christian wao islamic hawajawahi kumzuia ibada mke wangu yoyote sana sana wao huwa wananikumbusha sana asiache ibada wana kipindi chao cha toba kila kikifika huwa hawafanyi lolote
Sent from my Infinix X573S using
JamiiForums mobile app