Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

na hiyo ndio trick wanayoitumia mkuu na nikuweke tu wazi kwanza kitendo cha kumuingilia mkeo na kumpanda kichwani ni dhambi kubwa sana na hawana ruhusa ya kufanya hivyo......na ukimuona jini amepanda kichwani kwa mtu tayari ni jini muovu na ni shetani wala hutogundua leo madhara yao....na believe me or not....hakuna viumbe waongo kama mashetani hauna uhakika kama ni waislamu zaidi hao wana akili kukuzidi usiwachukulie kama mazezeta fulani mkuu.....hao wana uwezo mkubwa....na mwisho nikuhakikishie wana mission maalum kwenye familia yako na utakuja kuijua wakati muda hauruhusu kwa kukazia nina uhakika asilimia waliokuwa wanamdondosha mwanzo na kumpa maumivu makali ya kichwa ndo haohao wanajifanya wema sasa hivi kuja tu wakiitwa na wewe bila kumuumiza huku tayari wamemfanya KITI wao na wewe ukiamini wao ni wema...
ushauri wangu tafuta tiba uwaondoe hao viumbe kwa njia ya halali na dawa za asili za kawaida zisizo za kishirikina.....hapo kichwani kwa shemeji yetu sio mahali pao pa kuishi...hawajaumbwa kuja kuishi hapo bali nakuhakikishia tena wana mission yao na wataikamilisha wakati ambao wewe hauna muda wa kubadili matokeo..
samahani kwa kutofautiana na wewe kwa hili mkuu..
shukran..
Wakati wa kutafuta tiba nilishawafikia mashekh kadhaa na wachungaji tofauti na sisi christian mashekh walinieleza kuwa hawa ni wema zaidi ya wawili,sikusumbuka nao lakini pia kwa imani yangu Shekh kabla ya hawa sidhuriki na nguvu yoyote tofauti na Mungu mwenyewe baada ya mikasa kadhaa mizito ambayo watu walijua pengine ningekua mfu lakini nadunda uzuri namuomba sana Mungu kama ni wabaya katika maisha yangu hakika ningeshapata sign au nitapata kabla ya wakati kupita kuwa na imani jambo kubwa na hazina kubwa tuliojaaliwa na utambuzi nimekua nikitambua jambo baya na zuri kabla katika maisha yangu namtanguliza Mungu kila siku.
 
Mkuu nakuelewa ni kitu kimekuathiri maisha yako lazima kimekuachia alama lakini hata hao mashaykh nahisi ni walewale..

Huwezi muita mwema mtu anaishi kwenye mwili wa binadamu unajua ni mateso makubwa sana mkuu?!.....jaribu jambo moja umesema una kauli juu yao.

Waambie hivi rafiki zangu nafikiri ni muda sasa tumekuwa pamoja ninachoona kwa sasa mtuache mrudi nyumbani na sisi tuendelee na maisha yetu utaona reaction ipi itatoka kwao kisha utanipa mrejesho mkuu.

Na nimesahau kuuliza mmejaaliwa watoto wangapi kwa shemeji...
 
hahaah unaona! huyo alijidhihirisha ili umuone wala sio coincidence na pia hicho ulichokiona kisichoelezeka wala sio sura yake halisi aliyoumbiwa ni sura ya kujibadilisha na kujifananiza.....
by the way kama nilivyosema huko nyuma katika sehemu wanazopenda mashetani ni masokoni...
Aisee kumbe maana sura yake na hiyo pua hamna kiumbe mwenye hyo sura hapa duniani ni ngumu kuelezea kosa nililofanya nikushtuka na yeye akapotea wallah, hii dunia tunajua vitu vichache sana
 
mkuu nakuelewa ni kitu kimekuathiri maisha yako lazima kimekuachia alama lakini hata hao mashaykh nahisi ni walewale..

huwezi muita mwema mtu anaishi kwenye mwili wa binadamu unajua ni mateso makubwa sana mkuu?!.....jaribu jambo moja umesema una kauli juu yao....waambie hivi rafiki zangu nafikiri ni muda sasa tumekuwa pamoja ninachoona kwa sasa mtuache mrudi nyumbani na sisi tuendelee na maisha yetu utaona reaction ipi itatoka kwao kisha utanipa mrejesho mkuu..
Nilishawahi fanya hawakuwahi kurudi hadi nilipowahitaji mwenyewe,na mke wangu hajui kuhusu hawa na mara chache mwanzo wakati wanadondoka waliniomba nisiwe nawaita sababu mke wangu anaumia, baada ndio wakapata njia asihisi chochote au maumivu yoyote mara nyingi huwa wanaweza zungumza bila kuwa ndani yake kuja kwao hadi niite kuhitaji ushauri au kujadili jambo tofauti na hapo hawawezi kuja hata nikikaa mwaka bila kuhitaji kuwasiliana nao maana mara nyingi huwa wapo bize na shughuli za himaya yao mara nyingi huwa wanavamiwa na wenzao kuuwawa na majini wabaya, pia huwa napenda kuwajaribu mara kadhaa kwenda nao kwenye nyumba za ibada za kilokole na za kwetu rc kupima lengo lao kuomba Mungu kunipa muongozo,sijawahi ona tofauti kwenye maombi au nikishiriki nao vitabu vitakatifu pia kama nilivyokwambia mimi ni mtu wa namna gani sijawahi kuacha kumshirikisha Mungu kunipa busara katika hili kama naenda kinyume nae katika miaka yote hii sizani kama ameniacha kunipa maono kama ilivyo katika shari na kheri anavyonipa,Pia walaji wa mbuzi katoliki [emoji3][emoji3] hawajawahi kusema haifai kwao au inawasumbua sana sana kuna mmoja wao nae anaipenda sana kuila mama watoto akiandaa
 
picha ya nini miski ama?!....kama ndio ulichokusudia sio kila miski bali ukifika maduka ya dawa asilia sema nataka miski nyeupe....price inarange 1500-3000tzs na harufu yake ni disturbing kidogo ni nyeupe kama maji.....ila mafuta mazito kwa kukuwepesishia origin ya miski ni mafuta ya swala { gazelle } na miski nyeupe ndio dawa nyekundu ni manukato....ya chenga ni dawa ya upele na matatizo ya ngozi ikichanganywa na vitu fulani....so wewe kaulizie miski
nyeupe.....ukiachana na hayo hapo juu kama una mke akimaliza mzunguko wake wa mwezi awe anapaka ile siku aliyomaliza inaondoa harufu na athari yote ya MP..
shukran..
Mkuu hyo baada ya hedhi ni nyweupe au nyekundu??
 
Nilishawahi fanya hawakuwahi kurudi hadi nilipowahitaji mwenyewe,na mke wangu hajui kuhusu hawa na mara chache mwanzo wakati wanadondoka waliniomba nisiwe nawaita sababu mke wangu anaumia, baada ndio wakapata njia asihisi chochote au maumivu yoyote mara nyingi huwa wanaweza zungumza bila kuwa ndani yake kuja kwao hadi niite kuhitaji ushauri au kujadili jambo tofauti na hapo hawawezi kuja hata nikikaa mwaka bila kuhitaji kuwasiliana nao maana mara nyingi huwa wapo bize na shughuli za himaya yao mara nyingi huwa wanavamiwa na wenzao kuuwawa na majini wabaya, pia huwa napenda kuwajaribu mara kadhaa kwenda nao kwenye nyumba za ibada za kilokole na za kwetu rc kupima lengo lao kuomba Mungu kunipa muongozo,sijawahi ona tofauti kwenye maombi au nikishiriki nao vitabu vitakatifu pia kama nilivyokwambia mimi ni mtu wa namna gani sijawahi kuacha kumshirikisha Mungu kunipa busara katika hili kama naenda kinyume nae katika miaka yote hii sizani kama ameniacha kunipa maono kama ilivyo katika shari na kheri anavyonipa,Pia walaji wa mbuzi katoliki [emoji3][emoji3] hawajawahi kusema haifai kwao au inawasumbua sana sana kuna mmoja wao nae anaipenda sana kuila mama watoto akiandaa

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Shetani hanaga rafiki mkuu.
 
Sawa mkuu kila la kheri..
 
Kiranga
Maoni yako!! Kama una swali pia!!
 
Mkuu kwanza asante kwa kushare nasi pia kwenye hiyo story. 3. Pole kwa ulemavu kukatwa mguu. 3. kweli wanaume tunapitia mengiiii sana I see.

Usiwaone akina Ginimbi wanakufa kwenye miaka 34 akiwa kwenye kilele cha ukwasi,ukadhani ni kawaida. Wote akina Ivan. Yote hayo ni sehemu ya mapambano ya wanaume kumfukuza mdudu umasikini,tuko radhi kuhatarisha maisha yetu.

=>Swali moja mkuu. Kama umesema wale wazee wanatumika na wazungu kulinda zile mali,kwa uchawi. Kwa nini msiwatumie hao wazee kuwalainisha kwa njia yoyote,mpaka wakakubali kufanya yao,kutambika ili kufokoa hizo mali mkuu?

Mwisho hiki unachohadithia nimekisikia hata huko Mbeya maeneo ya Tukuyu eneo moja linaitwa kisiwa. Hilo eneo ni mlimani lakini maji yamejitengeneza kama bwawa kubwa juu kwenye kilima. Yale maji yana kina kirefu,japo watalii wanaogolea hata wageni wa ndani lakini kwa ya wazee walinzi wa kile kisiwa. Kuna watu nasikia wamewahi kufia hapo,wengine ni wazungu. Nasikia kwa chini kabisa kwenye hayo maji kuna mali wazungu walizihifadhi kwenye masanduku makubwa wakati wanaondoka.
Hii sehemu ni kwa bibi yangu mzaa mama, panaitwa kisiba ni volcanic dam. Kabla hujafika kisiba kama kilomita moja kuna majengo ya zamani yalijengwa kwa mawe ambayo ilikua ngome ya wajerumani.

Hizo habari za kusema kuna mali chini kabisa kwenye maji hapo kisiba inasemekana ni kweli na inasemekana kuna wazungu walienda kuzichukua lakini walifia huko huko chini ya maji bila kutoka na chochote na ni Mara nyingi wazungu wamekua wakienda na kuweka kambi hapo.
 
Back
Top Bottom