Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Na ndio ukaamua kutuweka pending mazimaaa [emoji24][emoji24]
Sio hivyo mamii. Mi sio msimuliaji mzuri alafu it gives me bad feelings to remember each and every point of what I went through😭😭
Ila jua haya madude kama huna kinga na sio mtu wa ibada sio mazuri kabisa. Yaani don't ever entertain them. Nikisikiaga fulani ana majini hasa mabinti na kina mama huwa nashangaa sana.
 
Mkuu tumalizie basi jamani
 
Daa hii stort sasa ndio siielewi imeishia wapi. Kuitafuta kwenye comments ni ishu sana. Mi niliishia pale jamaa anatoroka na amefika kwenye kolongo alilotegemea lingekua na maji mengi lakini hakukuta maji [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Daa hii stort sasa ndio siielewi imeishia wapi. Kuitafuta kwenye comments ni ishu sana. Mi niliishia pale jamaa anatoroka na amefika kwenye kolongo alilotegemea lingekua na maji mengi lakini hakukuta maji [emoji24][emoji24][emoji24]
Basi alivyotoka hapo aliingia upande wa kushoto wa hilo korongo akapitiwa na usingizi kidogo kuja kushtuka tayari kumeshakucha,akiwa anatafakari nini cha kufanya akaiona boti zile za wavuvi ikabidi aombe msaada,wakamleta mpk eneo 1 linaitwa timbuktu lkn kumbuka alikua ameficha hizo dhahabu kiuoni lkn ile amefika tu akashangaa kukuta zimegeuka kua shanga/chachandu.

Itaendelea maana kuna maporomoko yametokea hapa shimoni tuko tunaokoa watu.
 
Pole sana!

Najua sio kumbukumbu nzuri, ila inakubidi uiongelee hiyo hali, ili ifike mahali uione kawaida, hata utakapomaliza kuisimulia kuna ahueni utaipata, na with time hiyo hali itakuwa normal tu wala haitakuwa ya kushtua tena

Hata dhahabu pia anza kuziona kawaida tu ili uondokane na ile hali ya ukiziona tu unaanza kukumbuka tukio zima,
Mi nna pete moja ya gold na naivaa sana ila sijawahi kuona mauza uza ya aina yoyote ile hivyo naomba uanze kuiona dhahabu kwa namna ya kawaida, pengine ingewezekana hata silver kuwa na mauza uza uliyopitia,

Nnachojaribu kusema hapa ni kuwa, tatizo sio dhahabu, tatizo sio pete, tatizo sio kito chekundu (ruby) tatizo lilikuwa kwa mmiliki wa hiyo pete, Nadhani yeye ndio alikuwa na mambo yake kuhusiana na hiyo pete,

My mom aliwahi kuibiwa hereni zake za dhahabu pale mkwajuni, tena alivuliwa mchana kweupe na hatujawahi kuziona zikirudi mpaka leo hii[emoji2][emoji2]

Sanasana ilimbidi tu yeye kununua hereni nyingine!!!

Nakusubiria uje kumalizia stori yetu ili nasi tujifunze zaidi (maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga)
Wewe ni msimuliaji mzuri sana mwandiko umenyooka, tupe tu haki yetu
 
Mh majini kwa walokole! (Labda kwa walokole feki)
Jini mpenda kitimoto!
Kwa mujibu wa biblia all demons are agents of Satan.
Kwakukaa nao miaka yote hiyo hukuwahi kuwauliza wanatokea wapi?
Ndio maana nimeshangaa kuona utofauti mkubwa sana na story zilivyokuwa kuwahusu ndio nikagundua ni ngumu kujua jamii zao zote sikuwahi jua kuwa kuna wasio ogopa au kuchukia kitimoto, kuingia kanisani nk na mchungaji Muongo watakwambia pale pale huyu muongo ukifatilia ni kweli nazani alieumba ndie anaelewa vizuri uumbaji wake...Hao walokole ambao sio feki washafika na feki pia dunia ni pana ni jibu nililobaki nalo.Wanapoishi ni kwenye ngome yao sijajua mazingira gani sababu siwezi fika huko ila najua wanakula matunda na vyakula vya kawaida
 
Inshaalah itabidi nianze kujifunza mimi nilikimbia madrasa halafu sipendi kusoma kitu kwa kiarabu bila kujua maana yake,hii ndio olisababisha niliacha
 
Kwani story yako ishaisha?
 
Kwahiyo kama ni matunda na vyakula vya kawaida hawa wanaotakaga damu ni wale wabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…