Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...Kutumia misk sehemu za siri sio salama kiafya.
Mpaka hapo na wewe limekuvaa.Wakati wa kutafuta tiba nilishawafikia mashekh kadhaa na wachungaji tofauti na sisi christian mashekh walinieleza kuwa hawa ni wema zaidi ya wawili,sikusumbuka nao lakini pia kwa imani yangu Shekh kabla ya hawa sidhuriki na nguvu yoyote tofauti na Mungu mwenyewe baada ya mikasa kadhaa mizito ambayo watu walijua pengine ningekua mfu lakini nadunda uzuri namuomba sana Mungu kama ni wabaya katika maisha yangu hakika ningeshapata sign au nitapata kabla ya wakati kupita kuwa na imani jambo kubwa na hazina kubwa tuliojaaliwa na utambuzi nimekua nikitambua jambo baya na zuri kabla katika maisha yangu namtanguliza Mungu kila siku.
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Maana sio kwa likes hizo[emoji2][emoji2][emoji2]Ambiele Kiviele kazi yako imetukuka[emoji3][emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1] Hawawezi hata kunigusa,katika harakati nilishapelekwa kwa wataalamu kadhaa mikoa mbali mbali baadhi yao nao walibaki kushangaa nimewezaje kupona katika maswaibu waliyoyaona cha kukuhakikishia hata dawa za waganga woote niliowahi kupelekwa hazikuwahi kufanya kazi katika mwili wangu mbali na majini ya kifo niliyokuwa natumiwa kushindwa hata kunigusa tu,kuna mizimu ya koo kuna kipindi mila zilitakiwa kufanyika walishindwa nifanyia dawa zao sababu ya kushindwa kunigusa, kuwa na imani mzee utafaidi sana huu ulimwenguMpaka hapo na wewe limekuvaa.
Inshaalah itabidi nianze kujifunza mimi nilikimbia madrasa halafu sipendi kusoma kitu kwa kiarabu bila kujua maana yake,hii ndio olisababisha niliacha
Yani mi kila nikisoma hapo anapo panda kitandani navuta picha ...kwakweli inakata....naomba Mungu yasinikute....hata nyumba tu ningehama muda huo huo...hahahaha thubutu yako.....usubiri hatma na unamuona mzee anapangusa miguu anapanda kitandani acha utani wewe...
Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...
shukran...
usiwe muoga sana......wewe kama binadamu kuna jini unatembea nae muda wote kama umejilea kufanya mema anakuwa dhaifu na nguvu za kukushawishi zinakuwa kwa kiwango kidogo sana.....na kama ni muovu anakuwa na nguvu sana na ushawishi wake unatawala maisha yako.....anapenyeza wasiwasi na ushawishi direct kwenye moyo wako na unafanya .....so usiogope sana..Yani mi kila nikisoma hapo anapo panda kitandani navuta picha ...kwakweli inakata....naomba Mungu yasinikute....hata nyumba tu ningehama muda huo huo...
kuchanganya limao, asali ,coke na viunga **** na miski nnayoizungumzia tayari umeshahama nje ya mada mkuu.....kuweka hivyo vitu haifai na vina madhara na asali kama dawa sehemu yake sio huko.....hivyo vingine ulivyotaja ndo kabisa..Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.
Sikupingi mkuuhapo sina ushauri mkuu.....sababu kinachovuka kuanzia hapo ndio ushirikina wenyewe..
shukran kwa kunielewa..Sikupingi mkuu
Mkuu kwenye matumizi ya miski white naomba mwongozo.Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...
shukran...
Mkuu nikilihitaji moko vipi connection??[emoji1][emoji1][emoji1] Hawawezi hata kunigusa,katika harakati nilishapelekwa kwa wataalamu kadhaa mikoa mbali mbali baadhi yao nao walibaki kushangaa nimewezaje kupona katika maswaibu waliyoyaona cha kukuhakikishia hata dawa za waganga woote niliowahi kupelekwa hazikuwahi kufanya kazi katika mwili wangu mbali na majini ya kifo niliyokuwa natumiwa kushindwa hata kunigusa tu,kuna mizimu ya koo kuna kipindi mila zilitakiwa kufanyika walishindwa nifanyia dawa zao sababu ya kushindwa kunigusa, kuwa na imani mzee utafaidi sana huu ulimwengu
Sizani sababu sijawahi fikiria hilo wala kulifanya kwa kumpa mtu connection maana wao kwa maelezo hawakuwahi kushirikiana na binadamu wala mtu katika utawala wao,mimi ndio wa kwanza siwezi shauri uhitaji hilo sababu naona walio nao wengi huendeshwa na hao viumbe sijui imekuaje jamii hii niliyokutana nayo mimi ndio maana wengi hustaajabuMkuu nikilihitaji moko vipi connection??
daaah......nilihudhuria mlio wa bulyanhulu kila siku alfajiri unaskia watu wamekufa maduara yalikuwa karibu 2000 pale....na yalichimbwa karibu karibu sana ardhi ya pale teketeke juu tu ndo kuna lukili ila chini mtihani kila mzamo au nusu mzamo timber boksi moja na miti ghali hatari..Kifusi kilitudondokea..shimoni nilitamani tupone wote ila ilishindikana rafiki yangu roja uliongea kwa uchungu kwamba unashindwa kupumua.. nilishindwa kuwaokoa maana mkono ulivunjika nisinge weza kushika tena koreo.. japo niliendelea kuchimbua ili niwaokoe lakini kifusi kilicho shuka mara ya pili kili nikatisha tamaa.. kimweli uliniambia nijiokoe mwenyewe na nimsaidie mama yako mgonjwa.. dah sitosahau.. uchimbaji ni kazi ya jasho na damu
siku amemaliza period anaoga vizuri halafu anapaka juu juu tu.....then baadae akioga athari inapotea..Mkuu kwenye matumizi ya miski white naomba mwongozo.
Alizingua nini yule jamaa kule??Papaa gx ana ban ya maisha [emoji3][emoji3][emoji3]