Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Kutumia misk sehemu za siri sio salama kiafya.
Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...
shukran...
 
Wakati wa kutafuta tiba nilishawafikia mashekh kadhaa na wachungaji tofauti na sisi christian mashekh walinieleza kuwa hawa ni wema zaidi ya wawili,sikusumbuka nao lakini pia kwa imani yangu Shekh kabla ya hawa sidhuriki na nguvu yoyote tofauti na Mungu mwenyewe baada ya mikasa kadhaa mizito ambayo watu walijua pengine ningekua mfu lakini nadunda uzuri namuomba sana Mungu kama ni wabaya katika maisha yangu hakika ningeshapata sign au nitapata kabla ya wakati kupita kuwa na imani jambo kubwa na hazina kubwa tuliojaaliwa na utambuzi nimekua nikitambua jambo baya na zuri kabla katika maisha yangu namtanguliza Mungu kila siku.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Mpaka hapo na wewe limekuvaa.
 
Mpaka hapo na wewe limekuvaa.
[emoji1][emoji1][emoji1] Hawawezi hata kunigusa,katika harakati nilishapelekwa kwa wataalamu kadhaa mikoa mbali mbali baadhi yao nao walibaki kushangaa nimewezaje kupona katika maswaibu waliyoyaona cha kukuhakikishia hata dawa za waganga woote niliowahi kupelekwa hazikuwahi kufanya kazi katika mwili wangu mbali na majini ya kifo niliyokuwa natumiwa kushindwa hata kunigusa tu,kuna mizimu ya koo kuna kipindi mila zilitakiwa kufanyika walishindwa nifanyia dawa zao sababu ya kushindwa kunigusa, kuwa na imani mzee utafaidi sana huu ulimwengu
 
Inshaalah itabidi nianze kujifunza mimi nilikimbia madrasa halafu sipendi kusoma kitu kwa kiarabu bila kujua maana yake,hii ndio olisababisha niliacha

Nimekuelewa mkuu ni vizuri. Sasa tafuta vipo vitabu vina hizo duaa na tafsiri yake. Kuanzia unapoamka mpaka unapolala na dua nyengn zote zinazohusu maisha yetu ya kila siku....Muna mpaka yale maneno ya sala na tafsiri zake. Utaenjoy......ni vizuri kujua maana kuliko kusoma kikasuku
 
Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...
shukran...
Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.
 
Yani mi kila nikisoma hapo anapo panda kitandani navuta picha ...kwakweli inakata....naomba Mungu yasinikute....hata nyumba tu ningehama muda huo huo...
usiwe muoga sana......wewe kama binadamu kuna jini unatembea nae muda wote kama umejilea kufanya mema anakuwa dhaifu na nguvu za kukushawishi zinakuwa kwa kiwango kidogo sana.....na kama ni muovu anakuwa na nguvu sana na ushawishi wake unatawala maisha yako.....anapenyeza wasiwasi na ushawishi direct kwenye moyo wako na unafanya .....so usiogope sana..
 
Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.
kuchanganya limao, asali ,coke na viunga **** na miski nnayoizungumzia tayari umeshahama nje ya mada mkuu.....kuweka hivyo vitu haifai na vina madhara na asali kama dawa sehemu yake sio huko.....hivyo vingine ulivyotaja ndo kabisa..
ila miski nyeupe haina madhara na aliyeathiriwa na miski utamtafuta wala hutompata na haiharibu ule uasili wa uke kabisa.....shukran mkuu hata kama hatujakubaliana..
 
Kifusi kilitudondokea..shimoni nilitamani tupone wote ila ilishindikana rafiki yangu roja uliongea kwa uchungu kwamba unashindwa kupumua.. nilishindwa kuwaokoa maana mkono ulivunjika nisinge weza kushika tena koreo.. japo niliendelea kuchimbua ili niwaokoe lakini kifusi kilicho shuka mara ya pili kili nikatisha tamaa.. kimweli uliniambia nijiokoe mwenyewe na nimsaidie mama yako mgonjwa.. dah sitosahau.. uchimbaji ni kazi ya jasho na damu
 
Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...
shukran...
Mkuu kwenye matumizi ya miski white naomba mwongozo.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Hawawezi hata kunigusa,katika harakati nilishapelekwa kwa wataalamu kadhaa mikoa mbali mbali baadhi yao nao walibaki kushangaa nimewezaje kupona katika maswaibu waliyoyaona cha kukuhakikishia hata dawa za waganga woote niliowahi kupelekwa hazikuwahi kufanya kazi katika mwili wangu mbali na majini ya kifo niliyokuwa natumiwa kushindwa hata kunigusa tu,kuna mizimu ya koo kuna kipindi mila zilitakiwa kufanyika walishindwa nifanyia dawa zao sababu ya kushindwa kunigusa, kuwa na imani mzee utafaidi sana huu ulimwengu
Mkuu nikilihitaji moko vipi connection??
 
Sizani sababu sijawahi fikiria hilo wala kulifanya kwa kumpa mtu connection maana wao kwa maelezo hawakuwahi kushirikiana na binadamu wala mtu katika utawala wao,mimi ndio wa kwanza siwezi shauri uhitaji hilo sababu naona walio nao wengi huendeshwa na hao viumbe sijui imekuaje jamii hii niliyokutana nayo mimi ndio maana wengi hustaajabu

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
 
Kifusi kilitudondokea..shimoni nilitamani tupone wote ila ilishindikana rafiki yangu roja uliongea kwa uchungu kwamba unashindwa kupumua.. nilishindwa kuwaokoa maana mkono ulivunjika nisinge weza kushika tena koreo.. japo niliendelea kuchimbua ili niwaokoe lakini kifusi kilicho shuka mara ya pili kili nikatisha tamaa.. kimweli uliniambia nijiokoe mwenyewe na nimsaidie mama yako mgonjwa.. dah sitosahau.. uchimbaji ni kazi ya jasho na damu
daaah......nilihudhuria mlio wa bulyanhulu kila siku alfajiri unaskia watu wamekufa maduara yalikuwa karibu 2000 pale....na yalichimbwa karibu karibu sana ardhi ya pale teketeke juu tu ndo kuna lukili ila chini mtihani kila mzamo au nusu mzamo timber boksi moja na miti ghali hatari..
dhahabu hii..
kuna mshkaji aligorogosha kwenye duara moja ambalo wamelitoa bomba shafti maana jamaa walistukia wanachimba gesi pale wakaacha lilikuwa limeenda kama mizamo 7 hivi....jamaa akagorogosha alikuwa amelewa akaingiza mguu imoo! cha ajabu kufika ndani anamkuta msela mwingine nae aligorogosha jana yake hahahaha kapiga kelele mpaka sauti imeisha..
kumbe huyu wa pili wakati anagorogosha kuna kamanda alimuona basi akawastua jamaa wakaja wakawatoa kwahyo yule aligorogosha jana yake akapata msaada kupitia yule aliyegorogosha siku iliyofuatia..
pole kwa majanga mkuu hilo tukio ni siku nyingi?!...umesema kuangukiwa kifusi.....hamkuwa mnafunga timber?!...
 
Back
Top Bottom