Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Misk inatumika tangu karne ya kwanza ya uislamu namaanisha kwa kalenda ya hijiria ambayo kwa sasa ni karne ya 14....na wanawake wametumia tangu wakati huo na ni mafundisho kabisa kwenye uislamu na yanarithishwa vizazi na vizazi......kama mtu ameweka miski feki au iliyochakachuliwa au imebandikwa jina la miski na sio miski hapo kweli.....kinyume na hapo huwezi kuniletea mtu hata mmoja alieathiriwa na kutumia miski nyeupe baada ya period.....kama yupo tuhabarishe hapa mkuu na ushahidi...Kutumia misk sehemu za siri sio salama kiafya.
shukran...