Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Kwani mkuu nikuulize, kwani nikipita nikakuta watu wamepasua vyungu vyao kuna shida? Au nimemuona mtu anafanya mambo yake kuna shida let say anaroga ? Zamani kidogo nilipita sehemu flani nikakuta mganga anamuagua mtu Yule binti yuko uchi aliekua anaaguliwa nadhani, Mimi nikapita zangu kwa mbali nadhani hawakuniona, swali la mwisho mchawi anaweza kukuroga tu from no where?
 
Kitoabu Asante Sana kwa kushea nasi Maisha ya Wana Appollo. Nimesoma story yako nzima hii na ile ya Mzee wa Lupatu.
Nina hakika ukiunganisha story zako zote Ni Movie kali na yenye thamani Hollywood.🙏🙏
 
hakuna shida mkuu unless kuwe na kitu kibaya halafu ukaanze kushika ila ukipita na mambo yako bila shaka hakuna tatizo....kuhusu mchawi kukuloga bila sababu mkuu wachawi huwa wanafanya mambo yao kwaajili ya husda na wivu....mchawi anakufanyia ubaya sababu una maisha mazuri au una mtoto mzuri au una akili nzuri darasani....na anayafanya yote ili neema ikuondokee na uangamie kabisa....so kuwa vulnerable kwa wachawi ni kitu kipo mara nyingine bila sababu yeyote..
nafikiri nimekujibu mkuu..
 
Asante mkuu, ila na swali la mwisho nataka nkuulize unijibu kama utakua na mda hapa.
 
Hongera sana kwa kunivuta kusoma stori yako halafu wewe ukaingia mitini.
 
Unawaitaje tupe formula
 
Pole sana mkuu kwa kuumwa na nyoka na kukatwa mguu
 
True mkuu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…