Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

hahahaa nimecheka sana.....mkuu mchawi hakutishi odds zikienda upande wake anakunyoosha vizuri tu....uchawi unaleta maradhi, ulemavu, utasa na hata kifo..
na wachawi wanatumia majini waovu kufanya operation zao jini muovu anakuwa chini yake na anamsaidia kwa mkataba maalumu...
ila endelea na ujasiri huohuo wa nje ya mwili huku ndani unatetemeka hahaha...
Kwani mkuu nikuulize, kwani nikipita nikakuta watu wamepasua vyungu vyao kuna shida? Au nimemuona mtu anafanya mambo yake kuna shida let say anaroga ? Zamani kidogo nilipita sehemu flani nikakuta mganga anamuagua mtu Yule binti yuko uchi aliekua anaaguliwa nadhani, Mimi nikapita zangu kwa mbali nadhani hawakuniona, swali la mwisho mchawi anaweza kukuroga tu from no where?
 
Kitoabu Asante Sana kwa kushea nasi Maisha ya Wana Appollo. Nimesoma story yako nzima hii na ile ya Mzee wa Lupatu.
Nina hakika ukiunganisha story zako zote Ni Movie kali na yenye thamani Hollywood.🙏🙏
 
Kwani mkuu nikuulize, kwani nikipita nikakuta watu wamepasua vyungu vyao kuna shida? Au nimemuona mtu anafanya mambo yake kuna shida let say anaroga ? Zamani kidogo nilipita sehemu flani nikakuta mganga anamuagua mtu Yule binti yuko uchi aliekua anaaguliwa nadhani, Mimi nikapita zangu kwa mbali nadhani hawakuniona, swali la mwisho mchawi anaweza kukuroga tu from no where?
hakuna shida mkuu unless kuwe na kitu kibaya halafu ukaanze kushika ila ukipita na mambo yako bila shaka hakuna tatizo....kuhusu mchawi kukuloga bila sababu mkuu wachawi huwa wanafanya mambo yao kwaajili ya husda na wivu....mchawi anakufanyia ubaya sababu una maisha mazuri au una mtoto mzuri au una akili nzuri darasani....na anayafanya yote ili neema ikuondokee na uangamie kabisa....so kuwa vulnerable kwa wachawi ni kitu kipo mara nyingine bila sababu yeyote..
nafikiri nimekujibu mkuu..
 
hakuna shida mkuu unless kuwe na kitu kibaya halafu ukaanze kushika ila ukipita na mambo yako bila shaka hakuna tatizo....kuhusu mchawi kukuloga bila sababu mkuu wachawi huwa wanafanya mambo yao kwaajili ya husda na wivu....mchawi anakufanyia ubaya sababu una maisha mazuri au una mtoto mzuri au una akili nzuri darasani....na anayafanya yote ili neema ikuondokee na uangamie kabisa....so kuwa vulnerable kwa wachawi ni kitu kipo mara nyingine bila sababu yeyote..
nafikiri nimekujibu mkuu..
Asante mkuu, ila na swali la mwisho nataka nkuulize unijibu kama utakua na mda hapa.
 
Naandika habari hii nikiwa na kumbukumbu ya kuwakumbuka marafiki zangu dogo Chiko, Wamisujo, pamoja na Topha.
Hii ilikua 2015, leo ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu washkaji zangu hao watangulie kuzimu.

Utashangaa kwanini leo nimekaa nikawakumbuka machizi boti wangu hawa.

Leo Asbuhi nimekutana na mshikaji flani hivi ambaye tulipotea takriban miaka 5 iliyo pita, huyu mshikaji tulikuwa wote NAIROTO, tulipoteana kutokana na masahibu ninayo taka nikueleze hapo baadae.

Tulipo kutana leo kila mtu alikua akimshangaa mwenzie. Mimi ndie nilie kuwa wakwanza kumuita jina lake, alipo itika tulikumbatiana na kila mmoja kutaka kujua mwenzeke ilikua wapi baada ya tukio lile.

Kwa upande wangu nilijua mshikaji alisha kufa kwenye tukio lile.

****************************************************************************************
Nakumbuka ilikua 2015 kipindi Nanhupo madini (Ruby) yanatoka kinoma. Nakumbuka ndio mbuyuni ingali mbichi watu kila siku ni mwendo wa Dollar tu.

Mara mzungu akaongeza ulinzi porini (kukabiliana na wachimbaji) police wakawa wengi, kila askali ana mbwa, watu wakawa wanapigwa Risasi wengine wanang'atwa na mbawa.

Wachimbaji uoga ukatuingia, kila mtu akawa amepagawa, ukizingatia wengi wetu tumetoka Tanzania.

Mungu si John wala Kasim, akaonyesha makudula yake.....
Tukasiki kuna kijiji kinaitwa nairoto kuna dhahabu inatoka kwa wingi.

Kama kawaida ya wachimbaji (kuhama hama) safari zikaanza za kwenda Nairoto.

Nitarudi muda si mrefu.
Hongera sana kwa kunivuta kusoma stori yako halafu wewe ukaingia mitini.
 
Mwanzo sababu ilikua anadondoka wanapoingia na kutoka na yeye kuhisi kubanwa na kifua baadae wakanisihi nisiwaite mara kwa mara sababu mke wangu anaumia,hadi walipopata njia ambayo hata wawe mbali vipi wanaweza wasiliana kupitia kinywa chake bila wao kuwepo,au wakija hawezi hisi uwepo kabla au baada hata tuwe kwenye halaiki ya watu si kama ilivyo kuonyesha ishara kuna kitu kimepanda kwake hapana huzungumza na kuondoka bila hata jirani kuhisi mabadiliko, huwa wanakula ikipikwa husema baadae au kabla na yeye muusika atakula anaweza kula kwa form yake bila kumuona au kula kupitia kinywa cha mama

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Unawaitaje tupe formula
 
Mkuu Kazakh destroyer , hili unalizungumziaje?
Screenshot_2020-11-18-19-22-46-919_com.android.chrome.jpg
 
nitakua naandika kwa vituo tuvumiliane...nilishawahi andika thread ndefu saaana kipindi fulani simu ikazimaga ghafla kila kitu kikapotea

plan yetu kuingia mwezi wa 12 ilikua sababu ile ni miezi ya kula mavuno kwa wakazi wa Njombe wanajua huu ni msimu wa mvua na watu wengi ndio huwa wanaenda kutambika huko malori kwa magari ya kifahari...hata hao kuku huwa wengi na habari ni kwamba hata mali ndio inakua nyingi,inasemekana huwa inakuja mali na kupotea na ishara ni hao kuku kuwa wengi na kupungua

tulikua watano,1.mimi ,2.mobu (marehemu) ,huyu alikua mkinga alikua ana mishe za kupasua mbao kwa msumeno wa mkono shimoni(waliokaa njombe wanajua hii style ya kupasua mbao) 3.usungilo (marehemu) naye alikua na mishe za kupasua mbao,kwao ni bulongwa makete huko 4.mangi(alitoka mzima) huyu tulifanikiwa kutoka naye ila baada ya kutoka alikaa kama wiki moja akaanza onesha dalili za kuwa kichaa,na akawa kichaa kweli akaondokaga pale njombe hadi leo sijui habari zake (mungu amrehemu huko aliko) 5.mwaikambo (marehemu) jamaa wa mbeya alikua naye kaja kuhangaika na maisha tu Njombe.

Nirudi kwangu mimi kwanza kidogo,by then mimi nilikua mwajiriwa kiwanda cha chai,ajira siyo ya kitaalamu lakini kipato cha kuweza kuwanyanyasa hao jamaa zangu wote kiuchumi...wanangu sana,tunakutana kijiweni tunawa washkaji haswaa...kwenye hii safari mimi ndio nilikua master planer,sababu labda ya kuwa na kauli...mangi ndio alikua kama mwenye maono yote na alikua na njaa sana na hii mali...kwahiyo kupona kwangu mimi ilikua sababu sikua mstari wa mbele kuingia ndani kabisa ya pango kwenye hayo masanduku..

usiku tar 22/12 tukiwa na kila kitu cha kuingia kufungua masanduku tukaenda mdandu...fika tukiwa tushapiga mitungi yetu wanangu wako mbele mbele tukaingilia upande mwingine kabisa wa msitu ambako hata hakuna watu...hakuna kibaya hapo,tunakata majani kwa mapanga na miti midogo kupata njia...tumetembea zaidi ya masaa mawili msituni ili kuja unganisha na njia ya kule wanakoingilia watalii...na sababu tayari tulikua ndani hatukuonekana na wale wazee kule nje pamoja na walinzi wa msitu


wazee...mule ndani ni giza totoro,tochi zetu za mawe zile za kuitwa KURUNZI.,,,betri tatu tatu,tukafika tukaipata ile sasa njia ya ndani kabisa kwenda mapangoni...humu mchana kunatisha saanaaa,sasa imagine usiku inakuaje,hakuna story hapo na kama ni kuitana ni kwa sauti za chini sana,hofu ilikua kubwa na mvua sasa ikawa imeanza kupiga...baridi ni kali sana msituni

tumeendaaaa tukafika sasa kwenye mlango wa pango hapo ndio visa vilipoanzia...kule ndani usiku wanyama ndio wanakua active sababu ya ratiba labda za utalii so usiku pango ndio zinakua na fujo...tukaanza liingia pango bila uoga,mwendo kama wa dakika 30 hivi...huko ni kusikia tu sauti za wadudu na wanyama wadogo..tukamaliza hiyo zone ya zile pango za kitalii sasa tukawa kwenye mwisho ambako watu huwaga hawaruhusiwi kusogea zaidi ya hapo kwa imani kwamba watapotea hawatorudi.

na ndio habari ya vifo vya ndugu zangu watatu,kichaa cha mangi na ulemavu wangu inaanzia hapa...

ulemavu wangu wala usiwape wazo...ni kwamba niliumwa na nyoka huko nikafanikiwa kwa kudra za mungu tu kuokolewa kwa kukatwa mguu wa kushoto..

nitarudi..
Pole sana mkuu kwa kuumwa na nyoka na kukatwa mguu
 
Shetani hana nafasi kwangu,dunia ni pana sana ndugu hata vitabu vitakatifu watu wanachanganyikiwa wakiona Nuhu alizini na bintiye,Rutu naye ilikua mipango yake yeye aliyeweka sheria,baya ama zuri si chaguo letu kamwe hatma huamua nimejifunza sana haya katika maisha usinyooshe kidole kwa mtu bila kujua Mungu anafanya lipi kwake
True mkuu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom