Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Lakini unaonaje nikwambie namjua Trump, halafu nikwambie Trump hajui kiingereza.

Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshafahamu kuwa ni kiasi gani ufahamu wangu ni mdogo kuhusu Trump, hata kama nitadai namjua.

NARUDIA TENA
Utamzungumziaje usiyemjua?
 
Ni kweli trump hajui kiswahili
 
Huu uzii kibokoo ,nmesoma hafi comment ya 35 kutafuta muendelee of tu..yaan nipoo hoii hapaa. .ngojaaa niuchapee ..aseee ..

Sema ,mwandshi amepangilia fresh ,matukio ..
 
Amin mkuu,nimeshare ili watu wengine wapate kujifunza jambo ama kuongeza ufahamu hakika pote nilipotembea kila aliejua anawaelewa hawa viumbe amebaki kushangaa ama kubisha na wanaojua hubaki kuamini kwa kushuhudia..Ila tukazie kuwa hawana mamlaka yoyote kwa mwanadamu na ukiwaelewa hawawezi kukusumbua hata kidogo imani ya mwanadamu kwa Mungu ni muhimu sana kuliko dini.
Unadhani mke wako anafurahia hilo jambo la kuingiliwa na hao viumbe?
 
Niulize chochote juu yake
(Hint: You'll be suprised)

Najua mpaka umbo lake...yaani jicho moja,mguu mmoja,mikono miwili upande mmoja
Kwahiyo kumbe ana body??
Naona umeongelea jicho, mguu[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom