Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.
Misk na hivyo ulivyolinganisha navyo ni vitu tofauti mno.
 
umeona ee....sasa muite huyo ugeuke mtumwa wa kumtimizia vile anavyotaka....hata pesa huwezi kufurahia masharti ya moto! huoni mtu ana hela ila anatembelea ndala zimechakaa balaa.....au chooni haruhusiwi kuingia na mguu fulani yan ilimradi majanga..

Mkuu Wengine wanalala chooni wmesimama co poa kisa haya mambo
 
Yaliomfanya Kitoabu afupishe stori yake na asiendelee na mengineyo kwenye comment ndo hicho hicho kimemfanya Mbwichichi ashindwe kuendelea na stori ujuaji mwingi na Uzi juu ya Uzi ndo unafanya Mambo yawe hivi ni Bora mtu afungue Uzi hii itasaidia hata kujua au kuwa na kumbukumbu ya baadae Mana ukisearch tuu kitu kinakuja kwani achilia mbali na kuburudishana hizi stori nazo hutupa elimu na mwanga wa maisha kwa upande mwingine Kama unastori ifungulie Uzi
Sidhani kama uko sahihi..hujafuatilia tu..Kitoabu alimaliza..Mbwichichi nadhani ni majukumu tu..kuwepo kwa uzi zingine sidhani kama tatizo kwani kumefanya wengine tujifunze vingi..yaani jiwe moja limeua ndege wengi..kwa wale wasio wavivu wa kusoma haina shida kabisa.
 
Sidhani kama uko sahihi..hujafuatilia tu..Kitoabu alimaliza..Mbwichichi nadhani ni majukumu tu..kuwepo kwa uzi zingine sidhani kama tatizo kwani kumefanya wengine tujifunze vingi..yaani jiwe moja limeua ndege wengi..kwa wale wasio wavivu wa kusoma haina shida kabisa.
Kila nukta ya huu Uzi nimesoma na kwa jinsi store ya Kitoabu alivyokuwa anahadithia kuacha kipande Cha Uzi basi ujue kujibu na kusherehesha comments alikuwa analeta madini makali mno kuliko stori za maendeleo wa uzi
 
Yaani bado unaendelea kudhihirisha ujinga wako tu, kweli we kiboko.

Nimekosea hapo juu, lugha ya watu umenisahihisha na nimekubaliana na hilo, halafu unakuja kusema nimequit, kweli?

Sasa hapo nimequit nini? Kiingereza au? Na huoni kama hilo lilikuwa nje ya mjadala.

Intelligence yako haikuliona hili? na kama hiyo intelligence unayo au unasema tu.
Mnaharibu uzi wa watu haipendezi kwa kweli...nendeni kwenye uzi wa mambo ya siasa huko.
 
Back
Top Bottom