Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Misk na hivyo ulivyolinganisha navyo ni vitu tofauti mno.Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.