Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Kweli nime elimika Sana hakuna shortcut kwenye maisha halali .

Nakumbuka mwaka 2013 nilipata mchongo mmoja wa magendo / haramu nikiwa ndio dogo nimeaza kazi,

Kwakweli nilipiga pesa Sana nikawa na kila kukicha na Jenga nakununua viwanja katikati ya mji, nakufungua vibiashara ndani ya mwaka mmoja ukweli nilifatwa na jamaaa zangu na kila Kona zikaenea habara nimejiunga na watoa kafara ndio utajiri una ninyoo keea .

Hivyo kwa story ya bwichibwich naamini nimatajiri wachache Sana chini ya Mungu.

kwani nilialikwa na watu wazito Sana nipeanenao mbinu za kufanya biashara nani niwatonye Ni mganga gani ananisaidia
 
Tuhadithie mambo anayoyasema mangi aliyaona huko chini,hata kama ni ya uongo sisi tutayachuja,,utupe hata hizo theory za uongo watu wanazozisema?? Tunaweza kupata hata japo kaukwli fulani hiv...

hizo alikua anaweweseka tu sababu ya uchizi mzee..leo anasema hili kesho lile haeleweki....kaka ngumu kuandika mambo anasema kichaa
 
Tupe uhondo mkuu.
 
Mkuu kwahiyo wewe ni tajiri??
 
Mbona haujakamilisha story yako ! Bado inahitaji nyama nyama nyingi sana.
 
Kazi ndio kila kitu,unaweza pata hizo mali pia ukashindwa kuuza kupata pesa bora kukomaa tu shughuli za kila siku.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
 
Wenzako wakianza story wanaenda kuoga kwanza....nakushangaa wew unamwaga kila kitu bila hatua.
 

Mmhhh si mchezo, inatisha na kufunza.....Pole sn mkuu
 
Mkuu kwahiyo wewe ni tajiri??
Huwezi amini wafanya biashara niwafanya biashara tuu na uchawi ndio una waweka mjini ,
wao ndio nawaona wanazidi kutamba , mchongo huo uliduma Kama miezi 10 nilicho bakiwa nacho Ni nyumba za kupanga tuu ndio nasubiria Kodi zao na viwanja ambavyo havija endelezwa mjini

Nilipo hisiwa japo ushahidi haukupatika nilipata uhamisho wa ajabu nilifichwa mahala ambapo hata matumizi ya computer hayajulikani kifupi kanzia ofsi

Nilikuwa na jamaaa yangu yeye baada yakuona mambo fresh alikataa uhamisho huwezi amini japo yeye alikuwa vizuri na senior Sana aliamua acha kazi nakujikita katika biashara alizo anzisha kwa pesa hizo haramu ,

huwezi amini mwaka 2017 benk waliweka rehani nyumba Yale ya milio takribani Mia 200 kwa Deni la Mil 75 , alicho kifanya kujinusuru nikuza eneo zima la nje ya nyumba nakulipa coz alikuwa keshauza kila kiwanja akipambana biashara
 
Yaani hii habari nilitaka niifuatilie nimeshindwa...kutoka part moja hadi nyingine ni parefu sana na post zilivyo nyingi sasa
 
Kuna faida yoyote unapata kutoka kwao...
 
Aisee pole sana mkuu kwa maswaiba yaliyokukuta yote ni katika kutafuta,Mungu ni mwema umejifunza na u hai tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…