kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Pole, huu uzi kama umechelewa usiwe na haraka nenda nao mdogo mdogo.Yaani hii habari nilitaka niifuatilie nimeshindwa...kutoka part moja hadi nyingine ni parefu sana na post zilivyo nyingi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, huu uzi kama umechelewa usiwe na haraka nenda nao mdogo mdogo.Yaani hii habari nilitaka niifuatilie nimeshindwa...kutoka part moja hadi nyingine ni parefu sana na post zilivyo nyingi sasa
SoonDuh uko vizuri bibie, we njoo tu bebilakeee
Nashukuru nimemaliza kisa cha Kitoabu na Mbwichichi bado cha fyddellPole, huu uzi kama umechelewa usiwe na haraka nenda nao mdogo mdogo.
KUMEKUCHA, mwenye kusikia na asikieDah story yako ni ya kwel. Mm naish Cabo del gado. Baada ya kumaliza chuo SAUT 2015 coz ya education nilipitia maisha magum sana kulingana na background yang so nkajiingiza kwenye biashara ndogo ndogo hatimae 2019 mwez wa 6 nkafika mozambique. Hapo nikiwa na ml 5 sawa na MT 160000 ya huku. Nkaanza kununua gold kwa wachimbaji nauza Jimbo la nampula ambako soko nizur, sometimes Pemba, Tz pia. Now na mshukuru Mung sana maake pamoja na degree yang hata ningepata ajira nisingekua na mtaji mkubwa huu nilio nao kwa sasa. Nauwezo wakuchagua niishi wapi na ni furahie vp na nmekua msaada kwa ndg hata na marafk zang. Ml 100 huku usipokua mlevi na mvivu ni suara la mwaka tu mambo yakikunyokea ukianza na mtaji tajwa hapo juu. So kwa story hii nikwel coz eneo hlo now watu wanaliita MOCHWARI coz mifupa ya watu kitu cha kawaida eneo hlo n hakuna anaejar. Mtu anajar kilichofikisha huku sio anachokutana nacho mtu mwingne. Mtoa maada ntakutafta tuonane. MAPAMBANO YA NAENDELEA
Mkunazi ndo mti gani mkuuDuuh...
Pole sana ukhty...that was really a havoc....evil spirits are rampant in our houses yaani bora mkautafuta huo msaada
Dua na visomo nyumbani kila baada ya muda kupita ni muhimu.
Wakati wa kulala nyinyi ama hata kids unaweza kuwapaka mafuta ya "misk" kama haiwasumbui(allergies)....
Usiache kutumia MREHANI(kivumbasi) na chumvi ya mawe katika kuoga mara mojamoja...
Nyumbani kwako kama una space panda MKUNAZI...."hawaupendi".
Duu ebana hongera sana, yani nafikiria huko unamwaka na kitu hivi, tayari umeanza kuchagua sehem ya kuishi!!!?Dah story yako ni ya kwel. Mm naish Cabo del gado. Baada ya kumaliza chuo SAUT 2015 coz ya education nilipitia maisha magum sana kulingana na background yang so nkajiingiza kwenye biashara ndogo ndogo hatimae 2019 mwez wa 6 nkafika mozambique. Hapo nikiwa na ml 5 sawa na MT 160000 ya huku. Nkaanza kununua gold kwa wachimbaji nauza Jimbo la nampula ambako soko nizur, sometimes Pemba, Tz pia. Now na mshukuru Mung sana maake pamoja na degree yang hata ningepata ajira nisingekua na mtaji mkubwa huu nilio nao kwa sasa. Nauwezo wakuchagua niishi wapi na ni furahie vp na nmekua msaada kwa ndg hata na marafk zang. Ml 100 huku usipokua mlevi na mvivu ni suara la mwaka tu mambo yakikunyokea ukianza na mtaji tajwa hapo juu. So kwa story hii nikwel coz eneo hlo now watu wanaliita MOCHWARI coz mifupa ya watu kitu cha kawaida eneo hlo n hakuna anaejar. Mtu anajar kilichofikisha huku sio anachokutana nacho mtu mwingne. Mtoa maada ntakutafta tuonane. MAPAMBANO YA NAENDELEA
Ya pete ya dhahabu yenye kito cha ruby, naona kama katutelekeza au sijui ndo yule jini aliyetaka kuwafuata kwenye net amampiga bit!
Ya pete
Kaka nimekupm,nipo mahenge moro hapaDah story yako ni ya kwel. Mm naish Cabo del gado. Baada ya kumaliza chuo SAUT 2015 coz ya education nilipitia maisha magum sana kulingana na background yang so nkajiingiza kwenye biashara ndogo ndogo hatimae 2019 mwez wa 6 nkafika mozambique. Hapo nikiwa na ml 5 sawa na MT 160000 ya huku. Nkaanza kununua gold kwa wachimbaji nauza Jimbo la nampula ambako soko nizur, sometimes Pemba, Tz pia. Now na mshukuru Mung sana maake pamoja na degree yang hata ningepata ajira nisingekua na mtaji mkubwa huu nilio nao kwa sasa. Nauwezo wakuchagua niishi wapi na ni furahie vp na nmekua msaada kwa ndg hata na marafk zang. Ml 100 huku usipokua mlevi na mvivu ni suara la mwaka tu mambo yakikunyokea ukianza na mtaji tajwa hapo juu. So kwa story hii nikwel coz eneo hlo now watu wanaliita MOCHWARI coz mifupa ya watu kitu cha kawaida eneo hlo n hakuna anaejar. Mtu anajar kilichofikisha huku sio anachokutana nacho mtu mwingne. Mtoa maada ntakutafta tuonane. MAPAMBANO YA NAENDELEA
Ila WeWe Kaka unaongea vitu havieleweki!mara unasali Sana mara unafuga mashetani ulisikia wapi mafuta na maji vinachangamana?Shetani hana nafasi kwangu,dunia ni pana sana ndugu hata vitabu vitakatifu watu wanachanganyikiwa wakiona Nuhu alizini na bintiye,Rutu naye ilikua mipango yake yeye aliyeweka sheria,baya ama zuri si chaguo letu kamwe hatma huamua nimejifunza sana haya katika maisha usinyooshe kidole kwa mtu bila kujua Mungu anafanya lipi kwake
Duu ebana hongera sana, yani nafikiria huko unamwaka na kitu hivi, tayari umeanza kuchagua sehem ya kuishi!!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo nimefurahi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi unajua nipo lunch my dear? Nakula alafu nirudi ofisini. Huko nitaangalia Kama nitapata nafasi niendelee maana haya mambo sikia tu kwa mwengine. Sikuwa na mpango wa kusimulia hiki kitu na ni mara yangu ya kwanza kusimulia. Dhahabu siitaki kabisa maana kila nikimuona mtu ameivaa iwe kidoleni au shingoni hii kumbukumbu inanijia na mpaka sura ya yule mzee wa kiarabu (jini nani sijui tuliambiwa nishasahau jina lake) naikumbuka mpaka sasa.
Kwanini Pendo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo nimefurahi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo haikuisha sioYa pete ya dhahabu yenye kito cha ruby, naona kama katutelekeza au sijui ndo yule jini aliyetaka kuwafuata kwenye net amampiga bit!
Nilikua nafuatilia stori kama tatu za kufanana mpaka nachanganyaYa pete
Ukiwa makini utazijua zote na ipi inamuhusu yupiNilikua nafuatilia stori kama tatu za kufanana mpaka nachanganya
Ya kitoabu, Fyddell, Mbwichichi na Chizi Maarifa