Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Asante mkuu,hili kwangu limekuwa geni sana,kuna mahali umesema ukiwapeleka kanisani wanajua kwamba huyu mtumishi mwongo na huyu mkweli wanajuaje?1)Faida ni kama kubadilishana mawazo,ufahamu,kusaidiana kwenye matatizo na furaha.
2)Yesu wanamfahamu,wanamzungumzia kama nabii anaefuatwa na watu walioamua kumfuata ikiwemo sisi na wanatambua makanisa kama nyumba za ibada, hawana ufahamu mkubwa sababu ya imani yao ni islamic.
3)Mara zote nilizomshirikisha Mungu hakunionesha hatari katika hilo,ndio maana mara zote naamini katika mipango yake maana ukomo wetu wa kufikiri uwezo wake huanzia hapo kujiinua.
4)Sauti hata wewe unaweza kuisikia maana hutumia kinywa cha mke wangu kuzungumza na sio nasikia peke yangu.
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Je mtumishi mwenye nguvu ya Mungu hawezi Kuwaitia moto wa roho mtakatifu wakatoweka?